Natafuta marafiki wa kike tu

Sniper shooter

Senior Member
Jan 3, 2016
178
128
Habari za asubuhi wana jamii,

Natumai muwazima rejea kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana wa wa miaka 21 hadi sasa nimemaliza mtihan kidato cha sita hivyo niko huru nyumbani hivyo nahitaji marafiki wa kike tu.

Kwa mawasiliano na ushauri katika mambo mabalimbali yahusuyo maisha karibuni pm.

Vigezo
* Uwe na umri kati ya miaka 18 hadi 30
* Elim yeyote ile sibagui dini
Vigezo na masharti kuzingatiwa

NB; Marafiki wa kiume siwahitaji maana ninao wengi sana.
 
Ungetafuta internship kwanza kuliko kutafuta wasichana tena ukiwa umepumzika home tu, utashinda kutwa nzima kukunjua mwamvuli tu na siku matokeo yakitoka na wewe utapata matokeo yasiyoridhisha kutoka kwa madaktari
 
habar za asubuh wana jamii natumai muwazima rejea kichwa xha habar hapo juu mm ni kijana wa wa miaka 21 hadi sasa nimemaliza mtihan kidato cha sita hvyo niko huru nyumban hivyo nahitaji marafiki wa kike tu kwa mawasiliano na ushauli katk mamb mabalmbal yahusuyo maisha karibun pm.
Vigezo
*uwe na umri kat ya miaka 18 hadi 30
*elim yeyote ile sibagui dini
Vigezo na masharti kuzingatiwa

NB; marafik wa kiume siwahitaj maan ninao wengi sana
ila kwenye bio yako una 23yrs old
 
Habari za asubuhi wana jamii,

Natumai muwazima rejea kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana wa wa miaka 21 hadi sasa nimemaliza mtihan kidato cha sita hivyo niko huru nyumbani hivyo nahitaji marafiki wa kike tu.

Kwa mawasiliano na ushauri katika mambo mabalimbali yahusuyo maisha karibuni pm.

Vigezo
* Uwe na umri kati ya miaka 18 hadi 30
* Elim yeyote ile sibagui dini
Vigezo na masharti kuzingatiwa

NB; Marafiki wa kiume siwahitaji maana ninao wengi sana.
Mmesharudi sasa mnaanza kusumbua humu ndani. Umesoma HKL nini maana nasikia walikuwa na paper 3 wenzenu wa PCB na PCM bado wanapiga mzigo paper 12. PCM/PCB huwezi kutafuta wasichana humu wakati huko shuleni wako form 1 kibao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom