Haya mapenzi basi

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
672
Heshima kwenu wakuu
kitambo nilipotea ila nimerudi

Nampenda lakini nataka nimuache
kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga

nipeni mbinu za kumwacha kimya kimya
Ushauri pls
kama huna usiquote
 
Kama bado unampenda usimwache wanaume sisi ni walewale tu pigania penz lako mpaka hatua ya mwsho one day changamoto zitaisha na atadhamin uwepo wako kwakuwa mvumilvu
Hakuna mkamilifu utaumizwa tena uendako
 
Heshima kwenu wakuu
kitambo nilipotea ila nimerudi

Nampenda lakini nataka nimuache
kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga

nipeni mbinu za kumwacha kimya kimya
Ushauri pls
kama huna usiquote
mkuu kwann untk mwacha?
 
Kumuacha kimya kimya badili mawasiliano yako na uhame mji
 
We chezea bahati.....niliwahi fanya huo ujinga kitambo sana ulini cost.

My Story:

Mwanamke akipenda anapenda kweli, akivumilia akibadilika after soo much suffering.....alaf ulikoenda ukakosa pia. Utatamani ardhi ipasuke hii.
 
Kama bado unampenda usimwache wanaume sisi ni walewale tu pigania penz lako mpaka hatua ya mwsho one day changamoto zitaisha na atadhamin uwepo wako kwakuwa mvumilvu
Hakuna mkamilifu utaumizwa tena uendako[/QUOTE

Asante kwa ushauri.
 
sasa ungefunguka tatizo ni nini ili usaidiwe, maana hapa tunahisi-hisi tu, au kuna mtu anakujua tu
 
Mapenzi basi ? Huwezi !!
Kama si mapenzi usingezaliwa wewe kwa sababu mzazi wako hakubakwa. Alichapwa lugha akakubali mwenyewe kaachia sukari ikakombwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom