ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Habarini wana MUM
Binafsi huwa nashindwa kuelewa sana maana ya hilo neno KUHONGO kama linavyo tumiwa sana na vijana wa kizazi hiki!
Ni neno ambalo limejipatia sana umarufu hasa katika mapenzi kiasi kwamba watu wekuwa wanashindwa hata kujua ni mahali gani litumike na kwa mda gani?
Mfano unaweza kuwa na girlfriend wako au Boyfriend wako mpo katika mahusiano maybe ya miezi 2 au 3......ukiwa unampa mpenzi wako zawadi or money kwa ajiri ya kitu fulani unakuta vijana wanakuandama sana kuwa mshikaji UHONGA sana sasa nashindwa kuelewa maana kuwa unaweza kuwa kwenye uhusiano afu ukawa unamuhonga ulie nae
Au kuhongo hutokea kipindi kile cha kutongoza tu?? Sijajua vizuri maana ake
Huwa sipendi sana kulitumia hili neno kwa mtu coz naona baya afu sijui nilitumie vipi?
Jamani naombeni kuelewesha maana ya hili neno KUHONGA......ili nimkatalie babu asiwe anampa hela ya matumizi na zawadi bibi angu maana atakuwa anamuhonga sana...
Utasikia yule jamaa anahonga sana.....mara yule demu kahongwa gari na mme wake sasa hapa inakaaje Jamani
Hata wasanii wetu wamelitumia sana ila sijaelewa maana ake
Karibuni