manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
Dunia tambara bovu jamani kuna binti amemaliza form 4 nimekutana nae kwenye mtandao ya kijamii tukawa friends nilipoenda mkoa tukaonana kiukweli ni binti mdogo ni mfupi ana kaumbo kadogo hadi woga.
Sasa tulipiga stori kama friend ananiambia alifaulu kwenda form 5 but alienda ila akiwa shule huwa anaona vitu vya ajabu akataka ahamishwe shule now yupo home, badae tulizoeana akawa ananiweka huru wa maisha yake jana kaniacha hoi tukiwa tunachat nilikua namuuliza maswali ya hapa na pale nilishangaa kuniambia ni mjamzito ila alishatoa mimba nne hii akitoa itakuwa ya 5.
Iliniuma sana nimemsihi sana asitoe but anasema atafanyaje sasa... alinifungukia mengi alishatembea na zaidi ya wanaume 50 na wengine alishafanya kinyume na maumbile nilihamaki sana mtoto kama yule kashafanya mambo machafu, hizi tabia zilikua hamna kiukweli huyu binti anasikitisha kwa umri wake na matendo aliyofanya nimejiuliza hivi dunia inaelekea wapi jamani mtoto miaka 20 kashapitia haya? Inauma jamani.