Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto.
Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na mwanamke.Nawaza sijui itakuwaje ligi ikigeukia upande wangu.Bahati mbaya,jamaa ananifahamu ila mimi simfahamu.
Mwenye uzoefu hapo tafadhali tupeane techniques!