lbaraka
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 393
- 248
Habari wadau,
Hivi mwanamme kuwa na kuwa na uwezo wa physical fitness, pia uwezo wake katika mapenzi ni mkubwa?
Maana ninavyojua mimi, ukiwa vizuri kimazoezi, yaani physical fitness, almost kila kitu huwa simple kwako kufanya ilimradi knowledge tu.
Swali langu hasa linalenga uhusiano kati ya physical fitness na sexual drive/perrformance.. Thanks