Wanaume kushitaki kwenu hamuoni aibu?

hiyo ndio haki kwa wanawake je JE UNATAKA UPIGWE MANGUMI au kufuata sheria.sijui wewe ni mkurya.


swissme
 
Kama amekukanya husikiii ulitaka afanyaje?

Unaudhika kusemewa ukweni ila hauhudhunikii kosa au mambo yanayokufanya akaseme
 
MWANAUME MWAMINIFU:
hii ni kwa wanaume... ila wanawake mnaweza kusoma na Kujifunza kuwa wanaume ni waaminifu..
* Jamaa mmoja alienda kukata mkaa polini.. wakati anakata mkaa Panga lake likadondoka mtoni...akaanza kulalamika sana...
malaika akatokea na kumuuliza kwanini analia..
Jamaa akamjibu nimedondosha panga langu mtoni na ndiyo natumia kuendesha maisha yangu..
Malaika akazama mtoni akatoa panga la Dhahabu akamuuliza ndiyo hili??
Akajibu Hapana...
Malaika akazama tena akatoa panga la shaba, akamuuliza ndiyo hili??
Jamaa akajibu HAPANA.
malaika akazama tena akaibuka na panga la bati, akamuuliza ndiyo hili..
jamaa akajibu NDIYO..
Malaika akapenda uaminifu wake na kumpa mapanga yote matatu aende nayo..
JAMAA akafurahi sana..
**Siku nyingine Jamaa alikuwa anatembe na mke wake njiani, ghafla Mke wake akadondoka mtoni. jamaa akaanza kulia.....
Malaika akatokea tena na kumuuliza mbona unalia.
Jamaa akamjibu, mke wangu kadondoka mtoni..
Malaika akazama mtoni akaibuka na WEMA SEPETU.. Akamuuliza huyu ndiyo huyu.
Jamaa akajibu, NDIYO..
Malaika akakasirika na kumwambia Kwanini umenidanganya..
Jamaa akamjibu..nimesema ndiyo sababu najua ningesema HAPANA Ungezama ungemtoa AUNTI EZEKIEL ... ningesema HAPANA ungezama na kumtoa mke wangu alafu ningezema NDIYO ungenipa wote Watatu niondoke nao...... Sasa Masikini sina uwezo wa kuhudumia wote hao.... ndiyo maana nikasema ndiyo Kwa Wema sepetu.
SOMO LA KUJIFUNZA..
Wanaume huwa hatusemi uongo bila sababu.... na inakuwa kwa sababu maalum na kwa faida ya wote....
wanaume wote ni WAAMINIFU........
Mtunze na kumwamini mwanaume wako....
 
Sio kushitaki bali anatoa taarifa ili siku ya kufanya maamuzi magumu iwe rahisi kwa kuwa taarifa za awali wanayo.
Unatengeza na kupandikiza chuki....
Subiri ukitaka kuachana utaenda kuwaeleza a to z.... Au kama unataka ndugu zako wajue kila kinachoendelea kwenye ndoa yako nendeni na mkeo mkaishi kwenu, uvumilivu na usiri ni misingi ya kudumisha ndoa, wewe chumvi imezidi kwako mtwara mama mkwe Dar kishapigiwa simu ana taarifa usengerema mtupu
 
hawa mademu bana, akikaa kimya ni tatizo kwamba wanaume ni wasiri mno ndio maana wanakufa mapema,

akienda ku share na watu wake wa karibu ni tatizo
kama ameenda kukushtaki tu shukuru Mungu, maana angeweza kufanya maamuzi menngine magumu zaidi
 
Ujue either mwanamke kashindikana au mwanaume n toto la mama,
Either way sio dalili nzuri ya mahusiano imara,
Mkiwa mnashida ndani ya familia mnatakiwa kuyaongea kiutu uzima, au baada ya heavy match, akishindikana kote huko sometimes kelbu zinasaidia sana(ila zisizidi 1/year or two years ni sahihi)
 
ndio maana huwa tunanyamaza....tukiamua kusema ndio tumemaliza na tunavunja mkataba...full stop...wanaume hatupendi kutoa taarifa zetu, tukianza ujue ni dalili mbaya,,, tena mbaya sana...
 
Sasa ulitaka akashtak kwa masela ili wamshaur atafute pumziko la stress?
 
Back
Top Bottom