Natafuta binti wa kuoa, niko serious sitanii

Appetizer

Member
Apr 8, 2013
93
29
Mimi kijana miaka 32 elimu yangu ni masters level.Natafuta binti wa kuoa kuanzia miaka 22-26.

Awe muislam mwenye kujitambua kuanzia mavazi nk.Awe na elimu yake awe na shahada ya ualimu, nursing au accounting.

Aliye tayari no 0629 789403.
 
Mkuu unataka kufungua sekondari maana naona unataka waalimu. Kumbuka kuna wanawake wengine hawana elimu ya darasani lakini wako vizuri mno kwenye upendo wa dhati wakati wengine wamesoma mpaka vitabu vikachanika lakini wako ovyo kabisa kwenye upendo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom