Kwanini wapenzi wanaumizwa kila mara?

Ibrahim Msuya

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
572
1,264
Sasahivi wanaume wamekuwa waongo kuliko kitu chochote hasa kwa sisi wanaume kwanini unamwambia mwanamke kwamba nitakupa kila kitu unachotaka nikubalie tu ili uone yule msichama akishakubali basi ukishavua nguo basi unamwambia kwaheri.

Na nyie wanawake kueni wakweli na yule ulio mkabitdi moyo wako kwanini unamwambia uko mwenyewe wakati yupo Ibrahim, Aman, Iddy, Martin, Juma, N.K ndo maana mpaka saivi sijaona mwanamke wa kuukabitdi moyo wangu sipo tayari kuumizwa na kuumiza mtu.

TAKE CARE IN LOVE
 
Eeh usikabidhi mkuu ukikabidhi tu unakufa...moyo uko mmoja tu kwenye mwili
 
tatozo watu huingia kwemye relatioship hawajui wanachotaka, unakuta mtu lengo lake tuu awe na boyfrnd au girlfrnd kama watu wengine
akat mapenzi ni zaid ya hivo, tutalizana sana kwa mtindo huu
 
Mbona mimi sioni hao wanawakwe wa kudanganywa kirahisi hivyo siku hizi, kuwa utampa kila kitu? labda wale watoto walitoka kumaliza std seven.
 
Back
Top Bottom