Nimempa mimba mke wa mtu

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,987
4,725
Huyu dada alikuwa gf wangu long time kitambo. Katika harakati za maisha tukaja kupotezana, si unajua enzi hizo hakuna mitandao.

Sasa mwezi wa 10 mwaka jana tukaja kukutana katika pilika pilika za maisha. Tukalianzisha. Yeye ameolewa na mimi nimeoa. Tukafanya na ndom for a while baadae akaniambia she want to feel my dyudyu ikiwa bare. Tukapima tuko poa wote. Tukala kavu kavu kama mara 3 hivi. Sasa amenasa.

Na anasema since tuanze kula kavu hajafanya na mme wake. So mimba ni yangu. Hataki kuitoa anasema yuko tayari kuachika lakini awe na mtoto wangu. Hataki kutoa kabisa. Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini. Hii ni story ya mshkaji wangu ambae alikuja kwangu kuomba ushauri.

Huyu jamaa anayo pesa, na kwa vyovyote vile nahisi huyu dada amejilengesha makusudi.

Sasa dada anataka ajengewe nyumba tu aondoke kwa mumewe aishi peke yake.

It looks like huyu dada ana bifu hampendi huyo mume wake, na sababu kubwa mme wake hana kitu. Miaka 8 ya ndoa hawana hata kiwanja. So anataka kuponea kwa mshkaji wangu.

Jamaa amekubali ampe nyumba moja wapo, kati ya nyumba zake tano alizonazo na sasa hivi ukarabati unaendelea ili ahamie. Mume wake hajui chochote kinachoendelea. Mimba bado ndogo.

So sad, sijui jamaa atachukua hatua gani. Maana kwa mujibu wa jamaa mwanamke anasema hajashiriki tendo la ndoa na mumewe kwa zaidi ya miezi 6.

Najaribu kuvaa viatu vya jamaa jinsi atavyojisikia silati picha. Kweli bora ukosee kujenga kuliko kuoa. Nimeleta hii story kwa information.

Wanaume tuwe makini na hawa wake zetu
 
Raha ya kuwa mtazamaji ni kuwa auwezi pata maumivu... Mwambie asitie shaka awe tu mtazamaji atagundua jambo kwani akiri za kuambiwa weka na zako utakuja kugundua tu..
 
Unatu mix..mara umempa mimba mara story ya rafiki yako
Ni style ya uandishi tu. Its a true story. Ingawa mimi baada ya kumhoji jamaa nahisi anabambikwa. Mwanamke amesoma ramani na anataka kumuibia jamaa. Inawezekana kabisa mimba na ya mumewe. Kwa sababu dada anataka iandikwe kwa jina lake. Na nikama ana mtisha hivi each and every second.

Nimemwambia ingekuwa mimi ningesubiri kwanza mtoto azaliwe na tu test dna kabla sija transfer umiliki wa nyumba kwa mwanamke. Nimeleta hili ili tujifunze utapeli wa mapenzi ambao upo mjini
 
Umeikopy wapi hii.... Kama naisoma Mara ya pili hapa.

Anyway mwambie Jamaa ampe Huyo Jamaa aache upimbi kwani wakati anachepuka alikuwa anategemea Nini???

Tena akaenda na kupima kabisaa.....aghhrrrr watu wengine akili sijui zipo wapi.....
Hivi Huyo mwanaume anayegongewa huko anajisikiaje??? Tena kamimbishwaa

Kabisaa
Napenda kusikia Huyo mwanamke akitaka nyumba mbili kabisaa Ali iwe fundisho aache kuchepuka.

Angrrr angrrr
 
Mmmh bora upotee njia utaelekezwa kuliko kupotea kuoa au kuolewa unabaki kuchekwa shikamoo ndoa
 
Kuna ex-wangu aliwahi kuniambia hivyo hivyo kama alikuwa atembei na mumewe. Kumbe lilikuwa Malaya la kutupwa, akidudu na mumewe na majamaa wengine tena mwanawe ndio aliekuja kusema. Mama huyu tozi24 kafanana na John.
 
Huyu dada alikuwa gf wangu long time kitambo. Katika harakati za maisha tukaja kupotezana, si unajua enzi hizo hakuna mitandao.

Sasa mwezi wa 10 mwaka jana tukaja kukutana katika pilika pilika za maisha. Tukalianzisha. Yeye ameolewa na mimi nimeoa. Tukafanya na ndom for a while baadae akaniambia she want to feel my dyudyu ikiwa bare. Tukapima tuko poa wote. Tukala kavu kavu kama mara 3 hivi. Sasa amenasa.

Na anasema since tuanze kula kavu hajafanya na mme wake. So mimba ni yangu. Hataki kuitoa anasema yuko tayari kuachika lakini awe na mtoto wangu. Hataki kutoa kabisa. Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini. Hii ni story ya mshkaji wangu ambae alikuja kwangu kuomba ushauri.

Huyu jamaa anayo pesa, na kwa vyovyote vile nahisi huyu dada amejilengesha makusudi.

Sasa dada anataka ajengewe nyumba tu aondoke kwa mumewe aishi peke yake.

It looks like huyu dada ana bifu hampendi huyo mume wake, na sababu kubwa mme wake hana kitu. Miaka 8 ya ndoa hawana hata kiwanja. So anataka kuponea kwa mshkaji wangu.

Jamaa amekubali ampe nyumba moja wapo, kati ya nyumba zake tano alizonazo na sasa hivi ukarabati unaendelea ili ahamie. Mume wake hajui chochote kinachoendelea. Mimba bado ndogo.

So sad, sijui jamaa atachukua hatua gani. Maana kwa mujibu wa jamaa mwanamke anasema hajashiriki tendo la ndoa na mumewe kwa zaidi ya miezi 6.

Najaribu kuvaa viatu vya jamaa jinsi atavyojisikia silati picha. Kweli bora ukosee kujenga kuliko kuoa. Nimeleta hii story kwa information.

Wanaume tuwe makini na hawa wake zetu
Uongo mwingi humu..
 
Yaani wanawake bhana alifuata ndoa sasahiv anataka nyumba tena na akishapewa nyumba na mtoto atahitaji dushe kubwa akipata dushe kubwa atahitaji gari kwahyo ni game tu.
Mchew Kwan kajitia Vidole?! Unasemaje mwanamke..... Au. Wanaume aliyeoa anaruhusiwa kuchepuka?!
 
mtafute muhogo aiamishie kwako, badaye unaenda kutoa.

ukishindwa subiri uliwe tu hamna namna.
 
Huyu dada alikuwa gf wangu long time kitambo. Katika harakati za maisha tukaja kupotezana, si unajua enzi hizo hakuna mitandao.

Sasa mwezi wa 10 mwaka jana tukaja kukutana katika pilika pilika za maisha. Tukalianzisha. Yeye ameolewa na mimi nimeoa. Tukafanya na ndom for a while baadae akaniambia she want to feel my dyudyu ikiwa bare. Tukapima tuko poa wote. Tukala kavu kavu kama mara 3 hivi. Sasa amenasa.

Na anasema since tuanze kula kavu hajafanya na mme wake. So mimba ni yangu. Hataki kuitoa anasema yuko tayari kuachika lakini awe na mtoto wangu. Hataki kutoa kabisa. Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini. Hii ni story ya mshkaji wangu ambae alikuja kwangu kuomba ushauri.

Huyu jamaa anayo pesa, na kwa vyovyote vile nahisi huyu dada amejilengesha makusudi.

Sasa dada anataka ajengewe nyumba tu aondoke kwa mumewe aishi peke yake.

It looks like huyu dada ana bifu hampendi huyo mume wake, na sababu kubwa mme wake hana kitu. Miaka 8 ya ndoa hawana hata kiwanja. So anataka kuponea kwa mshkaji wangu.

Jamaa amekubali ampe nyumba moja wapo, kati ya nyumba zake tano alizonazo na sasa hivi ukarabati unaendelea ili ahamie. Mume wake hajui chochote kinachoendelea. Mimba bado ndogo.

So sad, sijui jamaa atachukua hatua gani. Maana kwa mujibu wa jamaa mwanamke anasema hajashiriki tendo la ndoa na mumewe kwa zaidi ya miezi 6.

Najaribu kuvaa viatu vya jamaa jinsi atavyojisikia silati picha. Kweli bora ukosee kujenga kuliko kuoa. Nimeleta hii story kwa information.

Wanaume tuwe makini na hawa wake zetu
Sasa kama ni stori ya mshkaji wako sisi tutajuaje kama kakudanganya. Mwambie aje hapa mwenye atuelezee ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom