Je, Ataweza nisamehe?

nilikuwa na mpnz wang tulipendana sana ila katika mahusiano yetu ilitokea cku moja nilikuwa na mihemko kwel kwel nkafanya mambo na ndio cku aliopata mimba ila tulikuja flash na tukaendeleza maisha . ikaja ikatokega nyingne hapo ndo akawa mkal ikafikia kpnd akataka tuachane sababu akiendelea kua na mm ntaja mtoa kizaz nkamuomba msamaha yakaisha ila amekuwa akitumia ile sababu mara kwa mara kuninyima papuch ake, nw amenikimbia kabisa ubaya zaid nilimwambia mimba umenicngzia baada ya kuja ckia alikuwa na ka tabia cha umalaya bila kuwa na uhakika nw atak mazoea na mm kabisa na bado nampenda nataman funga nae ndoa , SIJUI NIFANYAJE
Kama ilikuwa hutaki watoto si ukaoe mwanaume mwenzio wamejaa kibao fb ya nini kumharibia kizazi mtoto wa mwenzio.
Hujui unachotaka maana ushakana mimba, ushamuita malaya na hapo hapo unajidai unampenda. Watu kama nyinyi ndo mnatia dosari jina la wanaume wote.
 
Kiswahili cha ma'teen agers.

Kuckia badala ya kusikia.
Cingizia badala ya singizia.
 
nilikuwa na mpnz wang tulipendana sana ila katika mahusiano yetu ilitokea cku moja nilikuwa na mihemko kwel kwel nkafanya mambo na ndio cku aliopata mimba ila tulikuja flash na tukaendeleza maisha . ikaja ikatokega nyingne hapo ndo akawa mkal ikafikia kpnd akataka tuachane sababu akiendelea kua na mm ntaja mtoa kizaz nkamuomba msamaha yakaisha ila amekuwa akitumia ile sababu mara kwa mara kuninyima papuch ake, nw amenikimbia kabisa ubaya zaid nilimwambia mimba umenicngzia baada ya kuja ckia alikuwa na ka tabia cha umalaya bila kuwa na uhakika nw atak mazoea na mm kabisa na bado nampenda nataman funga nae ndoa , SIJUI NIFANYAJE
Ivi kwanini baadhi ya wavulana manake sisemi wanaume manake Mwanamme au mwanamme kweli hawezi kufanya vitu kama Kumwambia mwanamke akatoe Mimba wakati unajua kinga ilipo lakini umetaka kuisikilizia utamu wake ukasahau result
je kama umeandikia mtoto huyo mmoja katika maisha yako? ye huyo binti ukimuharibu kizazi? na mbaya zaidi unasema nimemwambia kua amekusingizia mimba ivi unajua jambo la kusingiziwa hasa na mpenzi wako linauma SANA? sasa unataka arejee na kurai hujui maneno matamu huna kudekeza hujui arejee amesahau nini?
 
Back
Top Bottom