hahaha mie niliwahi kupeleka Sis wangu hospital nikaona Mama na mwanawe wote wana mimba nilishangaa sana,niliporejea home nikamwambia Mama nimekuta Mama na mwanawe wamekuja clinic, sasa ingekua FUN mie na wewe tungeeda pia kama wale duu kanambia ushindwe mtoto natakia nini kufa,nileteeni wajukuu zangu nilee nile raha zangu nisubiri siku yanguya Kufa mie...Njoo huku kwetu uswazi utajionea mama anatemea mate huko binti nae huko na vita ya kugombea vipande vya ndimu.. wala haiwapi tabu.
hahaha mie niliwahi kupeleka Sis wangu hospital nikaona Mama na mwanawe wote wana mimba nilishangaa sana,niliporejea home nikamwambia Mama nimekuta Mama na mwanawe wamekuja clinic, sasa ingekua FUN mie na wewe tungeeda pia kama wale duu kanambia ushindwe mtoto natakia nini kufa,nileteeni wajukuu zangu nilee nile raha zangu nisubiri siku yanguya Kufa mie...
Kwa wengine hua sawa ila kwa mzazi wangu hakupenda,ila hata mimi ningependa nimalize mapema ili kama uhai ntakua nao nilee wajukuu zangu....kumbe hilo jambo linaleta ukakasi eeh.,
Kwa wengine hua sawa ila kwa mzazi wangu hakupenda,ila hata mimi ningependa nimalize mapema ili kama uhai ntakua nao nilee wajukuu zangu....
huko sahihi kabisa mimi binafsi sipendezwi nalo kwanza ni aibu sana kwa jamii yetu pia haya mambo miaka ya zamani yalikuwa nadra sana nakumbuka tu nilishuhudia mama karudi na mtoto thn nikaambiwa amemnunua ilikuwa raha sana wazazi wanazaa kwanza tena mkipishanishwa miaka miwili au mitatu na kuna kuwa na kikomo chake baada ya hapo mnakuzwa tu.,