Eh mzungu, nakujia kwako jmosi hii tulivu, baada ya kugonga kitimoto roast ya ukweli, ingawa kuna member humu anajitahidi kweli na mada zake za kuponda mdudu huyu, ingawa ulishafanya tafiti za...
Wakuu nimempa mimba mtoto wa watu. kutokana nampenda sana huyu binti nikaona isiwe tabu nifanye process za kufunga nae pingu za maisha japo ilikuwa ngumu kwa wazazi wake kukubali moja kwa moja...
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea...
Habarini wana jukwaa, ama baada ya Salam ningependa kuwashirikisha kinachoufukuta moyo wangu ikiwa ni mara yangu ya kwanza kabisa kwani mara zote nimekua msomaji mzuri na mchangiaji tuu...
Habari zenu wana jamii forum
Kwa muda sasa nimesikia sifa za huu mkoa wa Tanga kuhusu mapenzi.Watu wanasema mapenzi ndiko yalikozaliwa,na kuna stori nyingi sana kuhusu mji wa Tanga mara maji ya...
KE: Baby nitachelewa kurudi,kuna rafiki yangu mmoja kaja leo toka UK tulisoma nae sekondari,tuko hapa wambea bar tunapiga stori za zamani.(hiyo ni saa tano usiku)
ME: Aaah na wewe nae hadi saa...
Habari,
Mama mmoja mtoto wa kwanza kazaa na mwanaume mmoja ambaye hakuolewa nae, mtoto wa pili kazaa na mwanamme mwingine ambaye waliachana na baadaye akaolewa na mwanamme mwingine na kuzaa nae...
Kuna msemo usemao, mama ni mama na mtoto hakui kwa mama yake. Ni sawa ila tuje kwenye hoja.
Kuna mabinti wakubwa hadi miaka 30 ila wanapenda kufuatana sana na mama zao hasa kwenye misherehe...
Wanawake wengi enzi za uchumba hujituma sana na kuonyesha kwamba kweli ni wanawake wanaofaa katika ndoa lakini wanapoolewa tu hubadilika kama ifuatavyo:
1. Alikuwa msafi sana lakini akiolewa...
hii kero inanitesa sana,ilianza toka nasoma lakin nilivumilia na sikumpenda yeyote,wote niliwakataaa,lakin ata nilipoenda chuo mambo yalikuwa hayo hayo,sababu wanazosema eti mimi ni handsome mzuri...
naombeni ushauri
kusema kweli nilikuwa nawashangaa wadada marafiki wanaopokezana wapenzi kama mbio za kijiti ila leo yamenifika.
ninae shost wangu flani hivi yeye na mpenzi wake...
KWA WANAOJUA KIINGEREZA PEKEE.....
Every vagina is different, and therefore, every vagina has a relatively distinct scent. But if one had to define what a “normal” smell is, what would it be?
I...
Habarini Wadau,
Kwa uzoefu wangu binafsi na utafiti (usio rasmi sana) nimegundua kuwa Washkaji wengi wa Arusha huwa hawawakubali sana wana wa Dsm, huu ni utafiti uliotoka kwenye locations nyingi...
Neno la thamani sana duniani likiwa ni dogo na lenye maana kubwa lakini kila siku linazidi kupungua uzito wake na kuonekana kuwa ni neno liashirialo maumivu makali pindi litakapotoka katika mdomo...
Dear Ladies @ JF,
Hi,
I am looking for a pretty girl or woman to whom we can establish a new bond/family together.
She MUST POSSESS the following Qualifications:
1. Not married before, not...
Habari za leo waungwana,
Kuna vitu nashindwa kuelewa naomba muongozo hasa kutoka kwa wanawake wenzangu,naomba nitoe sababu yakutaka muongozo, kuna mdada hapa kazini ana report kwangu ni mdada wa...
Habari ya muda huu wakubwa.
Jamani kizazi hiki cha sasa cha wanaume tumekosa kujiamini kiasi hiki kwamba bila pesa wala gari hatuwezi kuopoa vidosho wakali?
Je wanawake wa sasa wamebadilika...
WAKUU,
KUNA MWANANGU HAPA KITAA ANAITWA #CHING_WA_KIMARA
BAADA YA YE' KUPATA MCHUMBA,
TUMEPIGA DONATION IKAPATIKANA HELA FLANI
NIKAMPA MWANA AKAENDA KUTANGULIZA NUSU YA MAHARI UKWENI KWAKE HUKO...
Nimeona thread moja kuna baadhi ya wajinga wanajipa matumaini kuwa UKIMWI aidha siku hizi haupo au umekuwa human friendly!
Huo ugonjwa utaishi na ARV kama vile kula na kunywa, mbaya zaidi ARV...