DaveSave
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 440
- 637
Wanawake wengi enzi za uchumba hujituma sana na kuonyesha kwamba kweli ni wanawake wanaofaa katika ndoa lakini wanapoolewa tu hubadilika kama ifuatavyo:
1. Alikuwa msafi sana lakini akiolewa uchafu unaanza.Kosa kubwa sana.
2. Alikuwa anajituma katika upishi mara tu baada ya kuolewa basi anaanza kumuachia house maid afanye kila kitu, mwisho wa siku mwabwana wasio na uvumilivu wanamfanya na house maid kuwa mke wa pili.
3. Kujituma katika tendo la ndoa kunapungua.Kosa kubwa sana maana ndoa bila tendo la ndoa hakuna ndoa.Uchafu, uvivu, kukosa ubunifu kunasababisha ndoa kutetereka.Usishangae kabla ya ndoa wote mlikuwa mnafika lakini baada ya kuoa usishangae akakuambia baby maliza basi nikalale, au bado hujamaliza tu?Tena kama amezaa ndiyo usiseme. Vitu kama hivi ni kosa kubwa sana.
4. Kiburi kwa kudhania kwamba kufunga ndoa ndio wamemaliza kila kitu huku wakisahau kwamba penzi linahitaji kupaliliwa kila siku.
-Mike Mwakatundu