Nimeona nilete huu ujumbe baada ya kuona rafiki zetu wengi na ndugu wakipotea kwa njia hii (imani isiyo ya kweli).Usijidanganye eti kisa umevutiwa na mwanamke kanisani basi wewe ukachanganyikiwa...
Wadau tusaidiane hapa kwa mtazamo wako unahisi ni mwanaume yupi alikuwa mwoga kumpoteza mwenza wake kati ya hawa wawili?
Mwanaume "A" alikuwa na mahusiano na mpenzi wake kwa muda mrefu...
Habari zenu wafuasi wa mtandao pendwa na wale wapenzi wa jukwaa hili la mahusiano, natumaini wote ni wazima na mko imara kama Simba sema sio Simba hii ya kina Manara ni uimara wa Simba mnyama...
Jamani nakuja kwenu mnipe msaada wa kimawazo,
Kuna mrembo mmoja tulikuwa pamoja kwa muda na baadaye akaamua kuniacha na kusema sijielewi nakuamua kuwa na jamaa mwingine (dereva taksi)
Basi juzi...
Salaam wana MMU...
Nimekuja kwenu najua mtanisaidia kwa jambo hili ni kwamba mimi ni kjana niliyeokoka na ninampenda Yesu effective....lakini kwa sasa nipo advance level kwa miaka mitatu sasa...
Wadau habari za Muda mrefu,
Mwaka juzi niliwaletea kisa kilichonitokea fuata link hiyo Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi, naomba niwakumbushe kwa muktasari.
Mwaka juzi, siku moja...
Siku hizi swala la mapenzi limekua cheap kiasi kwamba mtu unaweza kujikuta upo kwenye relationa na watu wengi kwa muda mfupi sana ukikutana na mtu wa jinsia tofauti mkabadilishana contacts ndo...
Kwa wanadoa tu:
Wandugu nawasalimu wote, kuna jambo moja hapa kwamba Watu ambao kwa sababu za Mungu mwenyewe hawana uzao, wakiwa faragha na wake zao,,
Hawatumii kondomu , wala withdrew
Pamoja na...
Katika hali ya kusikitisha dada mmoja mwenye umri wa miaka 25 huko County ya Thika aelezea kisa cha baba yake alivyo mshawishi kumuoa na kuzaa nae mtoto wa ajabu baada ya kuishi nae takribani...
Jinsi ya kuwa na Mpenzi bora
1 lazima na ww uwe bora kwanza
2 lazima ujiheshimu ww kwanza
3 kama unataka mwenye gari hakikisha na ww
unalo
4 ukitaka msomi na ww uneishia la 7 au fom 4
jua...
Wasalaam wadau,
Sitaki kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada kuwa niko kwenye mahusiano na binti ambae tuko mikoa tofauti ambae tuna miezi kama minne inaendeaa mitano.
Wiki za...
Wadau tusaidiane hapo kimawazo,km mume au mke amekuwa na mahusiano na mtu mwingine na amekuomba msamaha kwa kitendo alichofanya lakini unajikuta bado ukifikiria aliyoyafanya unapata hasira zaidi...
Kuna jamaa yangu alikuwa ni mtu wa bata sana na alikuwa na marafiki wengi sana na ndugu walikuwa wakimkubali sana na kumpigia simu kila kukicha, ila sasa maisha haya hayana mwenyewe yamemgeukia...
Binafsi napata shida sana kuwaelewa wanaume walio wengi.
Unakuta mtu ana mke tena hana kosoro lakini akitokea mwanamke mwingine atatazamwa huyo mpaka utalazimika kusema.
Juzi nilikuwa nakwenda...
Habari wana forum,
Natumai wote tu wazima kwa uweza na majaaliwa yake muumba.
Rejea mada tajwa katika maisha haya na umri wangu wa late 20s nimejifunza jambo moja kubwa juu yetu wanawake.Mungu...
Wengi tunapenda ndoa zetu zifungiwe kwenye yumba ya ibada kwa kadiri ya imani yetu. Ila pale mambo yanapokuwa magumu, hasa inapotokea tofauti ya imani, basi njia iliyobaki ni kufungisha ndoa...
Wakuu, ninawaletea taarifa hii nikiwa ni mwingi wa huzuni na majonzi ya hali ya juu.
Hii si hadithi bali ni tukio la kweli kabisa lililomkuta mkuta rafiki yangu na sasa majuto ni mjukuu na sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.