Siku hizi swala la mapenzi limekua cheap kiasi kwamba mtu unaweza kujikuta upo kwenye relationa na watu wengi kwa muda mfupi sana ukikutana na mtu wa jinsia tofauti mkabadilishana contacts ndo...
Kwa wanadoa tu:
Wandugu nawasalimu wote, kuna jambo moja hapa kwamba Watu ambao kwa sababu za Mungu mwenyewe hawana uzao, wakiwa faragha na wake zao,,
Hawatumii kondomu , wala withdrew
Pamoja na...
Katika hali ya kusikitisha dada mmoja mwenye umri wa miaka 25 huko County ya Thika aelezea kisa cha baba yake alivyo mshawishi kumuoa na kuzaa nae mtoto wa ajabu baada ya kuishi nae takribani...
Jinsi ya kuwa na Mpenzi bora
1 lazima na ww uwe bora kwanza
2 lazima ujiheshimu ww kwanza
3 kama unataka mwenye gari hakikisha na ww
unalo
4 ukitaka msomi na ww uneishia la 7 au fom 4
jua...
Wasalaam wadau,
Sitaki kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada kuwa niko kwenye mahusiano na binti ambae tuko mikoa tofauti ambae tuna miezi kama minne inaendeaa mitano.
Wiki za...
Wadau tusaidiane hapo kimawazo,km mume au mke amekuwa na mahusiano na mtu mwingine na amekuomba msamaha kwa kitendo alichofanya lakini unajikuta bado ukifikiria aliyoyafanya unapata hasira zaidi...
Kuna jamaa yangu alikuwa ni mtu wa bata sana na alikuwa na marafiki wengi sana na ndugu walikuwa wakimkubali sana na kumpigia simu kila kukicha, ila sasa maisha haya hayana mwenyewe yamemgeukia...
Binafsi napata shida sana kuwaelewa wanaume walio wengi.
Unakuta mtu ana mke tena hana kosoro lakini akitokea mwanamke mwingine atatazamwa huyo mpaka utalazimika kusema.
Juzi nilikuwa nakwenda...
Habari wana forum,
Natumai wote tu wazima kwa uweza na majaaliwa yake muumba.
Rejea mada tajwa katika maisha haya na umri wangu wa late 20s nimejifunza jambo moja kubwa juu yetu wanawake.Mungu...
Wengi tunapenda ndoa zetu zifungiwe kwenye yumba ya ibada kwa kadiri ya imani yetu. Ila pale mambo yanapokuwa magumu, hasa inapotokea tofauti ya imani, basi njia iliyobaki ni kufungisha ndoa...
Wakuu, ninawaletea taarifa hii nikiwa ni mwingi wa huzuni na majonzi ya hali ya juu.
Hii si hadithi bali ni tukio la kweli kabisa lililomkuta mkuta rafiki yangu na sasa majuto ni mjukuu na sijui...
Mada nazani imeeleweka,kuwa kuna watu wanajifanya wastaarabu wanaheshima sana lakini ukweli wa mambo hayo yote hawanayo.
Vipi mke wa mtu uchukuwe ukafanye nae mapenzi nikwamba huna heshima huna...
One day nikiwa job mke wangu alinipigia simu akinitaarifu kuhusu tatizo fulani ambalo limemtokea kazini. Ni gumu na nilimpa moyo lakini the ugly conclusion ni kwamba kwa msaada anaouhitaji mtu wa...
Ninaleta story hii hapa, ukitukana sawa, ukibeza sawa. Ila wanaume wa ukweli wako wangapi, mjihesabu?
Nilifika wakati nikawa na choices 2 - Mwanaume A na Mwanaume B. Wanafahamiana na mara kwa...
Wandugu tafadhalini naombeni ushauri nifanye nini mimi kijana wenu..nilimaliza chuo kikuu mwaka 2008, nikabahatika kuajiriwa baada ya mwaka mmoja.baada ya ajira nlijiwekea malengo kadhaa lakini...
Niliposti
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/496338-kufunga-harusi-kanisani-au-kwa-mkuu-wa-wilaya-ushauri-unahitajika.html.
Nimeonelea nitoe mrejesho wa post niliyoiposti na...
Baba ni kichwa cha familia na mama ni shingo ya familia. Shingo inazungusha kichwa kuelekea kule shingo itakako, na kichwa kitake kisitake kitageukia huko, Je wewe ndoa yako ni ya namna gani...
Heshima kwenu wakuu.
Kuzaliwa mwanaume ni bahati ila kuishi uanaume ni majukumu, lakini kuzaliwa MWANAMKE ni furaha kwa wote.
Familia ina watu 4. Baba, mama, mtoto wa miaka 5 na wa mwaka 1...
The word promise is one of the most occurring words in marital relationships. Promise means to tell someone that you will definitely do something or something will happen.
For a courtship to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.