Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana jamii forum Kwa muda sasa nimesikia sifa za huu mkoa wa Tanga kuhusu mapenzi.Watu wanasema mapenzi ndiko yalikozaliwa,na kuna stori nyingi sana kuhusu mji wa Tanga mara maji ya...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
KE: Baby nitachelewa kurudi,kuna rafiki yangu mmoja kaja leo toka UK tulisoma nae sekondari,tuko hapa wambea bar tunapiga stori za zamani.(hiyo ni saa tano usiku) ME: Aaah na wewe nae hadi saa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kunamtu hapendi Kupendwa? Bilashaka hayupo. sasa ukijua kuwa uliompenda kapendwa ujue umetendwa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Mama mmoja mtoto wa kwanza kazaa na mwanaume mmoja ambaye hakuolewa nae, mtoto wa pili kazaa na mwanamme mwingine ambaye waliachana na baadaye akaolewa na mwanamme mwingine na kuzaa nae...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna msemo usemao, mama ni mama na mtoto hakui kwa mama yake. Ni sawa ila tuje kwenye hoja. Kuna mabinti wakubwa hadi miaka 30 ila wanapenda kufuatana sana na mama zao hasa kwenye misherehe...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanawake wengi enzi za uchumba hujituma sana na kuonyesha kwamba kweli ni wanawake wanaofaa katika ndoa lakini wanapoolewa tu hubadilika kama ifuatavyo: 1. Alikuwa msafi sana lakini akiolewa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
hii kero inanitesa sana,ilianza toka nasoma lakin nilivumilia na sikumpenda yeyote,wote niliwakataaa,lakin ata nilipoenda chuo mambo yalikuwa hayo hayo,sababu wanazosema eti mimi ni handsome mzuri...
1 Reactions
225 Replies
17K Views
naombeni ushauri kusema kweli nilikuwa nawashangaa wadada marafiki wanaopokezana wapenzi kama mbio za kijiti ila leo yamenifika. ninae shost wangu flani hivi yeye na mpenzi wake...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
KWA WANAOJUA KIINGEREZA PEKEE..... Every vagina is different, and therefore, every vagina has a relatively distinct scent. But if one had to define what a “normal” smell is, what would it be? I...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Habarini Wadau, Kwa uzoefu wangu binafsi na utafiti (usio rasmi sana) nimegundua kuwa Washkaji wengi wa Arusha huwa hawawakubali sana wana wa Dsm, huu ni utafiti uliotoka kwenye locations nyingi...
6 Reactions
90 Replies
13K Views
Neno la thamani sana duniani likiwa ni dogo na lenye maana kubwa lakini kila siku linazidi kupungua uzito wake na kuonekana kuwa ni neno liashirialo maumivu makali pindi litakapotoka katika mdomo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Dear Ladies @ JF, Hi, I am looking for a pretty girl or woman to whom we can establish a new bond/family together. She MUST POSSESS the following Qualifications: 1. Not married before, not...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za leo waungwana, Kuna vitu nashindwa kuelewa naomba muongozo hasa kutoka kwa wanawake wenzangu,naomba nitoe sababu yakutaka muongozo, kuna mdada hapa kazini ana report kwangu ni mdada wa...
7 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari ya muda huu wakubwa. Jamani kizazi hiki cha sasa cha wanaume tumekosa kujiamini kiasi hiki kwamba bila pesa wala gari hatuwezi kuopoa vidosho wakali? Je wanawake wa sasa wamebadilika...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
WAKUU, KUNA MWANANGU HAPA KITAA ANAITWA #CHING_WA_KIMARA BAADA YA YE' KUPATA MCHUMBA, TUMEPIGA DONATION IKAPATIKANA HELA FLANI NIKAMPA MWANA AKAENDA KUTANGULIZA NUSU YA MAHARI UKWENI KWAKE HUKO...
1 Reactions
3 Replies
943 Views
Nimeona thread moja kuna baadhi ya wajinga wanajipa matumaini kuwa UKIMWI aidha siku hizi haupo au umekuwa human friendly! Huo ugonjwa utaishi na ARV kama vile kula na kunywa, mbaya zaidi ARV...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za usiku wana MMU, ifuatayo in orodha ya vyakula vinavyozuia kuchakaa na kuzeeka kwa mwili mapema kama vikitumiwa ipasavyo. Asante na karibuni!! Salmon. It’s high in omega-3 fatty acids...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu...
13 Reactions
80 Replies
29K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kabla hamjaanza ooh wewe mtetezi wa wanawake inakuwaje naomba nitoe kauli "SIFURAHII WALA SIUNGI MKONO...
27 Reactions
128 Replies
18K Views
Nimeona nilete huu ujumbe baada ya kuona rafiki zetu wengi na ndugu wakipotea kwa njia hii (imani isiyo ya kweli).Usijidanganye eti kisa umevutiwa na mwanamke kanisani basi wewe ukachanganyikiwa...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom