Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanajamii, Naomba mawazo yanu, nipo na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini nilipokuwa nikimshauri kuhusu kufanya tendo la sexual ananikatalia, huniruhusu...
1 Reactions
83 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu. Upendo ni nguvu kubwa kuliko zote zilizoko katika huu ulimwengu. Nguvu zingine ni za uvutano, upepo, radi n.k. Tofauti na hizo nguvu zingine, UPENDO upo ndani ya mtu, ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wananzengo habari zenu hapa Leo nimewaza jambo hili baada ya kuona kuna uzi fulani wachangiaji wake wengi wao wanaonyesha wana maisha ya vita na wake au waume au wapenzi wao yaani full vipigo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Binti baa medi analipwa laki na hamsini kwa mwezi, anathubutu kuniomba elfu hamsini, sio kulipia kodi ya nyumba au kumsaidia mdogo wake ada bali akatengeneze nywele. Shenzi nimemuacha kuanzia leo...
14 Reactions
105 Replies
9K Views
Kuna siku nilienda kumtembelea boyfriend, sasa mda natoka kwake yeye akawa yuko kama hatua kumi mbele yangu mimi nilikuwa na mdada wa saluni nachukua namba za simu kuna rasta nataka nimwagize...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kimaadili hii imekaaje Wandugu? Hii kitu nimekuwa nikiiona sana maeneo ya Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Kijitonyama na Mbezi Beach ambapo kumekuwa na tabia ya Wazazi wa Kiume ( akina Baba...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
habari wadau.. nilikuwa napiga story na staffs wenzangu wanalalamika wanaume majembe ngumu kuwapata sana.. wengi wao nowdays mabishoo tu alteza nyingi.. ukienda geto linawaka waka kumbe mikopo...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Nikimkosea badala aniambie nijirekebishe, yeye anaenda kumwambia Mchungaji. Nimejaribu kumsihi asifanye hivyo, yeye anasisitiza hana cha kuongea na mtenda dhamb ila kila kitu atamweleza baba yake...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Men are straight forward When you ask a man “Do you want to grab a coffee thursday at noon with me?” And he says “no” that means either he doesn’t want to go with you, or he doesn’t want to grab...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Newlywed husband divorces his wife hours after the ceremony because she was too busy texting her friends to have sex on their wedding night Bride spurned groom's advances when they got back to...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wagwaaan! Mimi ni kijana ambae nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2014 na kwa sasa nafanyakazi na kampuni binafsi inayojihusisha na mambo yaukandarasi. Kwa sasa ninampenzi ambaye nimedumu naye kwa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana FM!! Naomba msaada kuhusu aina zifaazo kwa wanaume kula ili kuongeza nguvu na stamina ya kufanya tendo la ndoa! Hii nimeiona ni mada muhimu kujadiliwa kwa kuwa sasa hivi takwimu zinaonyesha...
0 Reactions
56 Replies
18K Views
Jamani ndoa ndoano, wengine wanakimbilia kuingia, waliokwisha ingia wanatamani kutoka lakini hawawezi. Background: Tuna miaka 8 kwenye ndoa yetu. Mwenzangu aliishia kidato cha nne na hakufanikiwa...
14 Reactions
157 Replies
28K Views
ABARI ZA MWISHO WA WIKI?. Namshukuru Mungu kwa afya na uzima nilio nao hadi wakati huu, naamini kila mtu anasababu yake ya kumshukuru Mungu. Naombeni ushauri wenu kuhusu hili ila nami nipate...
3 Reactions
71 Replies
8K Views
Nakumbuka mwaka 2011 nilienda kukutana na bi mdada wa Facebook pande za mwanza nikiwa na matumaini kibao kuwa naenda kumit na Kim Kardashian[emoji39]. Ila nilichokutana nacho ni tofauti na...
6 Reactions
131 Replies
13K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Tunaendelea na ufadhili wa Young Millionaire, the boss himself. Leo bwana nina ubuyu mtamuuu hatari haitakiwi tablet natakiwa nikae kwenye...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna wakati unaweza kuanzisha mahusiano kisha badae ukajuta kuhusu hayo mahusiano,unaweza kujuta kwa mema au kwa mabaya ya hayo mahusiano. Kuna mahusiano nimeyaanzisha ila najuta na natamani bora...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Kumradhi kwa story iliopita kuishia njiani, kutokana na ombi maalumu la muhusika mmoja sikuimalizia. Na kupotea kule juu kwa juu maisha tu...
12 Reactions
46 Replies
8K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! cute b, mito na atoto muache majungu sijafilisika wala nini. Niko gado. Sema tu i...
50 Reactions
195 Replies
18K Views
Ndugu wanabodi kuna mwanamke nilikuwa namtaka.Kila nikimpigia mara hapokei,mara anajibu kwa kifupi, mara asinijibu basi nikaamua kumpotezea. Lakini huyu mwanamke ana mtoto na juzi akaja kwa nguvu...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom