Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,574
- 48,724
naombeni ushauri
kusema kweli nilikuwa nawashangaa wadada marafiki wanaopokezana wapenzi kama mbio za kijiti ila leo yamenifika.
ninae shost wangu flani hivi yeye na mpenzi wake wameshindwana.alikuwa ananishtakia sana namshauri ila naona mwenyewe kafika mwisho akaona isiwe tabu akamuacha jamaa akaenda tena nje ya nchi kwa sasa anasema hatorudi tena ila me sijui mbeleni. issue ilikuwa jamaa mlevi na michepuko ila yule best wangu alikuwa mtu mshari sana sana.so kila siku kugombana
sasa hvi hyu bwana ananitaka sana. najua ni vibaya hata mi simtaki ila
jamaa ni mzuri hb pesa zipo sana tu hata ikitokea nipo nae msema kweli mpenzi wa mungu ni kuvuta mihela tu maana jamaa mtoaji sana sio bahili.kitandani sio maana shost wangu aliniambia hakuna kitu dakika moja kule hoi hata alikuwaga na mchepuko wake.
naombeni ushauri maana sina mpenzi wala sifikirii mambo ya wanaume ila maisha magumu na hili gunia la hela nisije lipiga teke!
pls msinitukane