adam kayombo JF-Expert Member Oct 3, 2014 262 140 May 22, 2016 #1 Kunamtu hapendi Kupendwa? Bilashaka hayupo. sasa ukijua kuwa uliompenda kapendwa ujue umetendwa.
Sokoro waito JF-Expert Member Nov 21, 2014 2,201 2,598 May 22, 2016 #2 Kupendwa ni raha sana kama ukipenda pia. PENDO NA LISIWE NA UNAFIKI NDANI YAKE.
adam kayombo JF-Expert Member Oct 3, 2014 262 140 May 22, 2016 Thread starter #3 Kweli maana likiwa feki inatesa