Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Jamani mi mzima wa afya isipokuwa tu nimefuliaaaa! Nirushieni vocha niwape ubuyuu.
Back To Topic!
Dogo huyu, ni dogo wangu...
Wasalaam raia,
Nimerudi tena. Leo nakemea hii tabia ya watu..hususan hawa wadada wa mjini wanaopenda kufosi fosi mambo huku wakati hawana nyenzo.
Mtu umenyuka pamba zako kali....unaenda zako...
Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa kipindi kirefu sasa je kuna tofauti gani kati ya crush na Love at first sight?
Natumai kuna wajuzi humu MMU mmeshawahi ku experience hizo situation mbili tajwa...
Hii haijalishi wewe umeokoka au swala tano. Ukifanya ngono na umpendae muda muafaka, sehemu muafaka na kwenye eneo muafaka unajisikiaje kwa wale waliobahatika kufanya hivyo?
Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi!
Kuna Ndoa na kuna Harusi...Wengi mnapenda zaidi...
Huwa natazama jinsi wanawake wanavyoumiza kichwa kutafuta attention ya wanaume mpaka nawaonea huruma. .
Kwa uhalisia hawajui Tunachokitafuta. ..kama kuna mwanamke aliyegundua wanaume tunataka...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Kuna kitu nimekigundua huku nje kama mfuatiliaji wa Insta za watu. Ukweli ni kwamba mumeo akichepuka watu wooooote tutajua kasoro we...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa hio na diplomasia yote nliotumia bado mnasita kufungua wallet? Mpka mkubwa mwenzenu...
Yapo makabila yenye kuamini sana katika mila na inasemekana mtu asipofanya au kufanyiwa mila mambo yake yaweza enda kombo. Yapo makabila mtoto akizaliwa kama ni mjini lazima atapelekwa kwa mababu...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
Lile party la mwakaaaaa! Party la kukata na Mundu JF Party of the year kama kawaida kama dawa litakujia November Mwanzoni...
Napenda kuwapa pole kwa wote ambao huenda mchana huu unawapita Deshi bila kula.
Kikubwa ni kutaka mawazo yenu kuhusu huyu mke wangu. Ni mwaka wa 3 sasa anafanya biashara ya nje yaani Kenya na...
Tumelelewa katika mazingira tofauti. Tunalea na wengine tuna mpango wa kulea ila wengi tunalea watoto wetu bila mfumo mzuri utakaowaongoza katika maisha yao.
Mzazi, kama lugha unayoitumia kwa...
Kama inavyotolewa elimu namna ya kumpa huduma ya kwanza kwa mtu aliyepatwa na ajari au kung'atwa na nyoka na mimi leo naomba kupewa elimu namna ya kumuokoa ndugu yangu anayeonyesha dalili za wazi...
mwaka jana mwishoni kuna msichana nilianza nae uhusiano wa kimapenzi japo kua rafiki zangu karibu wote hawakuniunga mkono mimi kua na yule dada. nami nilichukulia kawaida tu ni maoni tu ambayo...
Two friends
were walking
through the desert
During some point of the
Journey they had an
Argument, and one friend
Slapped the other one
In the face.
***
The one who got...
Nihivi. Nina anko wangu aliniita nije uku mwanza kumsaidia biashara zake kwa makubaliano ya kunilipa kiasi fulan kila mwezi. Nilishukia kwake nilimkuta ana sofa mbili kitanda na jaba LA maji tu...
Habari zenu.
Baada ya kumaliza form four nilibahatika kupata mtoto wa kiume na student mate mwenzangu. Baada ya kujifungua ndo mkataba wa baba yake kufanya kazi hapa nchini ukawa umeisha hivyo...
Peace been upon you all,
Kama binadamu tuna mipaka ya kimaadili kulingana na mila na desturi za kiafrika. Lakini kubwa zaidi kulingana na imani zetu.
Tumeingia karne na millennium nyingine yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.