'I love you so much', neno lenye maana kubwa ila limepungua thamani

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,209
4,406
Neno la thamani sana duniani likiwa ni dogo na lenye maana kubwa lakini kila siku linazidi kupungua uzito wake na kuonekana kuwa ni neno liashirialo maumivu makali pindi litakapotoka katika mdomo wa mlaghai.

Tuzidisheni ukweli kwa wapenzi wetu.

I LOVE YOU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom