Natafuta mume

Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.

Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Hutapata mwenye ajira her useme yyte anaefigtht mpunga.hao wa ajira ndo wakuumiza
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.

Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Mimi ninafanya kazi zangu, VIP nitakufaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom