Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,661
Nimeona thread moja kuna baadhi ya wajinga wanajipa matumaini kuwa UKIMWI aidha siku hizi haupo au umekuwa human friendly!
Huo ugonjwa utaishi na ARV kama vile kula na kunywa, mbaya zaidi ARV hizo kuna wakati zina side effects, mtafute mgonjwa mmoja umwuulize, kama akiamua kukusimulia ndio utajua kama UKIMWI ni MAMA au BABA yako. Achilia mbali unyanyapaa, ukigundulika unao tu, heeeee, nani akukaribie.
Unacheza na UKIMWI, ARV zikiadimika kama sukari, ndio utajua UKIMWI ni kitu gani.
Dar Ndio mkoa unaoongoza kwa UKIMWI, kama kuna takwimu zinazoonyesha tofauti na hivyo, ni feki.