Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
WAKUU,
KUNA MWANANGU HAPA KITAA ANAITWA #CHING_WA_KIMARA
BAADA YA YE' KUPATA MCHUMBA,
TUMEPIGA DONATION IKAPATIKANA HELA FLANI
NIKAMPA MWANA AKAENDA KUTANGULIZA NUSU YA MAHARI UKWENI KWAKE HUKO MOSHI_VIJIJINI.
SASA NDANI YA MIEZI HII KADHAA TUMEONA YULE MKE MTARAJIWA AMEANZA MABADILIKO YA GHAFLA
YANAYOAMBATANA NA DHARAU, JEURI, KIBURI, UVIVU NA USUMBUFU,
KIASI CHA MWANA KUFIKIRIA KUBADILISHA GIA ANGANI.
_____
SASA KWA UZOEFU WENU,
KWA KUWA NDOA YENYEWE INANUKIA KUWA NA MVURUGIKO,
JE,
TUNARUHUSIWA KUDAI ILE NUSU YA MAHARI YETU ILIYOTANGULIZWA
ILI TUIHAMISHIE HIYO NGUVU KWENYE UFUGAJI WA KUKU AINA YA BROILA??
NA
TUTUMIE TEKNIKI GANI AMBAYO HAITAKUWA NA MZUNGUKO MREFU KATIKA KUIPATA??
NAWASILISHA.