housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,191
Eh mzungu, nakujia kwako jmosi hii tulivu, baada ya kugonga kitimoto roast ya ukweli, ingawa kuna member humu anajitahidi kweli na mada zake za kuponda mdudu huyu, ingawa ulishafanya tafiti za kutosha kusafisha uongo wote.
Eeeh mzungu saidia bara hili la giza.
Saidia na huku tuwe na wanaume manake kuna wanawake na mifugo tu.
Kutwa mifugo hii kujilinganisha na ng'ombe, kuku na mbuzi kutetea michepuko. Yani kweli ni kuku na mbuzi.
Hivi mwanaume anayejielewa anaweza kujifananisha na mnyama kweli?? Wanaume wa kuhesabuu.
Eeehh mzungu saidia bara hili lenye Giza.
Saidia manake mifugo mingi bado ina undugu wa karibu na masokwe. Ni kutumia mahasira na nguvu kujitia ukuu na ubabe kama masokwe porini.
Eeeh mzungu mpunguzie akili yako kidogo. Hadi leo watu wenye elimu zao za hapa na pale bado wanatafuta ukuu kama sokwe porini, wananyanyasa wanawake kimwili na kisaikolojia. Akili na ustaarab wako hawana!
Eeehh mzungu tusaidiege huku!
Mifugo haijielewi. Kutwa na sharubu zao kujiita dhaifu ili kutetea kupanda panda ovyo na kuumiza familia. Halafu yenyewe haitegemi kufanyiwa hivyo la sivyo itakurecord na kusambaza video.
Ndomana bara haliendelei. kuendekeza Mihemko tu kama mmbwa. NO DISCIPLINE. POOR COGNITIVE DEVELOPMENT.
Eeeeehhh muzungu ,
Saidia wanaume wa huku.
Kutwa kuongelea tamaduni za enzi za mitume wakati tuko kwenye ubepari.
Kutwa kufananisha wanawake na bibi zao wakati hali halizingani. Wanawake wanapataje shida kuishi maisha ya dunia mbili TOFAUTI ili kuwaridhisha! Lakini wao maisha yao na babu zao ni yaleyale. Full kurelax kidume. . Eeehh muzungu vavaa...
Eeehh Muzungu saidia...
Mifugo inaona dunia wameumbiwa wao, wanawake wamekuja by the way. Wao ndo wenye akili za maamuzi. Wao hawakoseagi. Wao ndo wa kuheshimiwa na kujaliwa. Wao ndo wenye tamaa za mwili. Wao ndo WAGUMU kuonewa na kusamehe. Wao ni kutafuta sukari tu, kutunza mahusiano si kazi yao. Wanawake ndo wa kujiheshimu wao wanaweza kujitia hamnazo.
Lakini mzungu,
Wanawake nao ni MAJIPU! hawajielewi. Kutwa kujitia kufundana ujinga unaoishia kutesa wenzao.
Wanawake wamefungwa kifikra. Wanasema ETI mifugo ndo silika yao!!
Hawajiamini. Eti waongozwe. Wawezeshwe. Itumike akili kuishi nao manake hawajielewi.
Hivi muzungu, wanawake wa huko dunia ya kwanza hawajielewi kama wa huku? Me naona wa huko ndo inahitajika AKILI kuishi nao. Wa huku wanaishi kwa vipigo, vitisho, ubabe na michepuko tu.
Mzungu tusaidie ELIMU ELIMU ELIMU.
Saidia na wanaume wanaoogopa degree holders saidia ili tuwalinde watoto wao watakaoozeshwa wakimaliza LA saba.
Kupitia serikali ya utumbuaji majipu na kidikteta (unaolazimishwa na mifugo ya bara hili) naomba muzungu utuokoe na UJINGA..
SO BE IT..