Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Salaam wana MMU...
Nimekuja kwenu najua mtanisaidia kwa jambo hili ni kwamba mimi ni kjana niliyeokoka na ninampenda Yesu effective....lakini kwa sasa nipo advance level kwa miaka mitatu sasa nimetokea kumpenda msichana mmoja aliyeokoka kama mimi na yeye ni mwanafunzi...
Tangia nimeanza kumpenda nimekuwa nikitamani nimwambie ukweli ili tuwekeane miadi ya kuoana baadae ila muda mwingne niliwaza kumwambia labda tukifika chuo...
Jamani ukweli ni kwamba huyu ni mke Mungu aliyenipatia swali langu ninaweza kuanzisha mahusiano thabiti hadi ndoa bila madhara yoyote...
Naombeni ushauri maana ninvyompenda.

Last edited by a moderator: