Mapenzi yamekuwa cheap sana siku hizi, kulikoni?

mchecheto

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
1,532
1,461
Siku hizi swala la mapenzi limekua cheap kiasi kwamba mtu unaweza kujikuta upo kwenye relationa na watu wengi kwa muda mfupi sana ukikutana na mtu wa jinsia tofauti mkabadilishana contacts ndo basi tena mtaongea mambo ya kawaida kwa muda mfupi sana kinachofuata ni mapenzi.

Sasahivi ni kawaida kukuta mama mtu mzima na ndoa yake anatongozwa kawaida sana na hata kukubali kuvuliwa chupi kirahisi tu,pia unakuta mbaba na wajukuu anao ila kuendekeza totoz inakua kawaida sana kiufupi ngono zimetawala sana vichwa vya watu sana siku hizi ukiomba namba ya mdada facebook unatongoza kirahisi tu na tunda unajimegea sababu hasa ya watu kuendekeza sana haya mambo ni nini?

COMMENTS ZINAKARIBISHWA.
 
Sababu ni kuwa tunajifanya tumeendelea lakini pia kubwa ni kuwa tumepoteza imani na hofu kwa mwenyezimungu,nwdays watu. Tunaogopa ukimwi na magonjwa ya zinaa kuliko kumuogopa MUNGU
 
Kwa anayejitambua mapenzi bado ni aghali sana, tena kupita hata zama hizo; sababu kuu ni kale ka ugonjwa!.
 
Siku za mwisho wengi watapenda fedha kuliko Mungu. Ndipo wengi watakapojikwa, nao watasalitiana na kuchukiana. Maasi yataongezeka na watu kujikana nafsi...

Hayo yote ni dalili za siku za mwisho: Yamenenwa.
 
Dunia nzima mtu kama mimi nipo peke yangu tu hivyo ninathamani kuliko chochote sasa thamani yangu yote hiyo eti animiliki mtu mmoja tu kisa ndoa.halafu kwanini nijidhiki nafsi roho inatamani nimlambe mwanamke fulani ili nipate murua yake halafu eti nijinyime kisa nina ndoa,mimi
huwa naiachia roho ipende inapopataka.na wanawake ndo wananifanya nichukie kufa.
 
Ugumu WA maisha umewafanya wadada kuwa rahisi Sana kungoka kwa kiuwepesi kupitia mawasiliano.
 
Ugumu wa maisha, hapo ndio imekuwa sehemu kuu ya kupunguzia stress.
 
Nadhani wengi wenu mnachanganya MAPENZI NA NGONO kinachoonekana cheap ni NGONO NA SIO MAPENZI, nadhani mapenzi bado yapo na yana thamani kama ilivyokuwa enzi hizo ni adimu kuyapata, kinachopatikana kwa urahisi sasa ni ngono.
 
Wanawake wamekuwa wengi mno kuliko wanaume. Sasa kila siku wanajishusha thamani ili walau wapate mkunaji. Vinginevyo hali ni tete kwa wanawake, anaweza kaa miezi 6 hajapata wa kumuita. Ndiyo maana sasa hivi wanashindana kuachia tupu zao mitaani, kwenye clubs, n.k.
Na pia kukubali kwao kuingia kwenye biashara ya kudhalilishwa kunawafanya kupoteza thamani. Masteji shoo wa kike wanavalia vivazi vinavyotweza utu na kushusha thamani yao. Mara nyingi hawa masteji shoo huwa ni wazuri kwa muonekano.

Sasa mbugila mbugila mwenzangu mwenye sura kama ana jipu usoni na shepu kama tuta la viazi anajiona si lolote si chochote. Anajiuliza kama mrembo yule kaachia nusu mwili watu wanakula kwa macho, mm kanyanga inabidi nimkubali hata anayenitongoza kwa utani.
 
Technologia imerahisisha mambo yote... tokea zama kuchaguliwa na kuletewa na wazazi... mpaka sasa...
 
Back
Top Bottom