God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Nimeona nilete huu ujumbe baada ya kuona rafiki zetu wengi na ndugu wakipotea kwa njia hii (imani isiyo ya kweli).Usijidanganye eti kisa umevutiwa na mwanamke kanisani basi wewe ukachanganyikiwa ukampenda hadi kusahau ya huu ulimwengo kwamba ni mwema na safi.
Hapana ndugu hii dunia ina mengi wengine wameokoka baada ya hali kuwa mbaya na wakaona wamrudie Mungu wao, waathirika wengi hii ndo. Step yao ya mwisho kumrudia Mungu hivo ewe ndugu acha mawazo ya kitoto think twice ulimwengu ni mgumu sana na hautabiriki, hakuna alieweza kuu define sio mkubwa, msomi wala nani for real mambo ni magumu.
Usione eti alikuwa na mama/baba/ndugu au rafiki yako ndo ujipe moyo hapana utaangamia.Ukosefu wa maarifa unatuuwa wengi ila maarifa kwa kutumia kichwa chako huwezi unahitaji nguvu nyingine ambayo ni ya Mwenyezi-Mungu, sali sana ewe ndugu, mtumikie Mungu achana na anasa, starehe, vishawishi na tamaa visikutawale kumbuka mchawi wa mtu ni mtu mwenzie hapo panahitaji hekima.
Hiko kichwa cha chini ewe mwanamume/mwanamke kisikutawale always ukitawale na ukiendeshe mwenyewe ni vizuri kutambua chanzo cha maafa na matatizo mbali mbali ni dhambi zako kwani malipo ni hapa hapa duniani.
kutomcha Mungu ni sababu ya matatizo yako, mpe moyo wako na utaona faida yake.Mwenzenu nimeokoka nimemkabidhi Mungu maisha yangu nakula raha na moyo wangu umejawa na furaha, nimempa Mwenyezi-Mungu maisha yangu, nimepitia mikasa mbalimbali kama kuukwepa ukimwi, kufeli masomo,uchawi, magonjwa ya kawaida na matatizo mbalimbali.
Mafanikio yangu yametokana na jitihada zangu za sala, maafa yote hayo hapo juu na mengine nimeweza kuyashinda sababu ya nguvu ya Mungu, nimeona ishara na maono mengi nikaimama katika imani sasa niko safi sababu ya upendo wa Mungu.Nasema tena nakula raha sababu ya upendo wa Mungu mpe Mwenyezi-Mungu maisha yako nawe utaona baraka tele.
Kwa kweli hilo la kanisani nimelisikia sana wengi wamepoteza maisha kwa ngono zembe/kuamini mno kumbe ni hatari wana MMU tuambiane zaidi mazingira hatarishi yanayoweza kutupumbaza na kuona tuko salama kumbe ni hatari najua yako maeneo mengi sana yanaweza kutupumbaza wana MMU tupeane elimu zaidi kuyaokoa maisha yetu na vizazi vijavyo.