Mrejesho: ''Imani kali'' inaitia ndoa/familia yangu majaribuni

Anahutaji psycho-therapy....Anakoelekea ni kuchanganyikiwa...Nafikiri hata huko kwenye maombi kunaweza kumchanganya zaidi...Anahitaji ushauri...Too much of everything(imani) is harmful.....
 
Hospitali ndio suluhisho,
Mara nyingine inaweza kuwa ni kifafa cha mazsuala ya uzazi
 
Poleni sana.........nadhani madaktari wanahitajika zaidi hapa.
 
Nenda kanisani tank bovu kwa nabii enock..lipo Stella matutina atapona mkeo kwa maombi..nawe uwe na imani kwa niaba yke
 
Back
Top Bottom