MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Jamani nakuja kwenu mnipe msaada wa kimawazo,
Kuna mrembo mmoja tulikuwa pamoja kwa muda na baadaye akaamua kuniacha na kusema sijielewi nakuamua kuwa na jamaa mwingine (dereva taksi)
Basi juzi nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu nilipata lifti toka kwa jamaa yangu flani,huyu jamaa yangu gari yake iko tofauti kidogo,ni hizi gari zenye usukani (sterling wheel) upande wa kushoto,LHD, mimi nikawa upande kulia,usipo angalia kwa makini basi utajua kama mimi ndo naendesha,basi nikapishana na huyu ex wangu na mimi nikaact kama naendesha kweli. Basi ile kufika nyumbani nikakutana na txt yake "baby hongera kwa kununua gari,hivi unajua nilikupenda hata kabla ya kukuona"
Naombeni ushauri jinsi ya kumjibu
Note:niko serious,utani uweke pembeni