How do you overcome this

SPSS

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
711
388
Wasalaam wadau,

Sitaki kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada kuwa niko kwenye mahusiano na binti ambae tuko mikoa tofauti ambae tuna miezi kama minne inaendeaa mitano.

Wiki za nyuma nilimfata alipo we had fun ila kuna hii tabia yangu ya kudumu inanirudia kua whenever i fall like for real and deep i start to feel insecure, i cant get over it ata angenionyesha mapenzi kiasi gani bado najiona niko vulnearable so the best thing inormaly to do is to break up ili nisiumie.

Kwa kipindi kilichopo thats what i feel so insecure, and i strongly feel like breaking up with her simply because i feel like nikiendelea hivi nitampenda sana and akizingua ataniumiza sana.

Please some experience on this
 
Mm nimekuelewaa mnooo, soma kitabu kinaitwa power of now! Utaelewa mind zinavocheza tricks na sisi binadamu, yaani its all in ur mind unampenda sana soo unaona ata kuumiza so ur subcouncious mind ina kuambia the easy way out is to break up with her ili ukimbie majanga mapema so u would rather hurt her first before she hurts you, hahaha seriously hii saikolojiaa hii tell me kama hufeel nilicho andika hapa
 
Author?
 
Ekhart Tolle??

That book is purely devil-sh
 
Ama ulishawai kuumizwa kwenye mahusiano? Ni vizur kuchukua tahadhari ya kutokupenda hadi ikapitiliza kwa mtu ambaye bado hamjasomana vizur lakin imani ya kuwa naye na ndiyo chaguo lako la maisha inamchango mkubwa sana kupata partner wa kudumu...
 
Lol why? Nikweli ukisoma kwa makini I can relate with everything anacho andika
Kuna eastern Religion pale inahubiriwa kwa lugha ya kufumba fumba.

Kama ni msomaji wa vitabu vya Yoga au budha, anachokifundisha hapo ni hicho.

Kuna kitabu kingine kinaitwa Conversion with God yaani ni ushetani mtupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom