Maadili si kitu cha kuchezea!! Mtu ukimkosea mume au mke huwa ni kama kovu lisiloondka mwilini haswa usoni maana kila ukiliona kovu unakumbuka maumivu !!Wadau tusaidiane hapo kimawazo,km mume au mke amekuwa na mahusiano na mtu mwingine na amekuomba msamaha kwa kitendo alichofanya lakini unajikuta bado ukifikiria aliyoyafanya unapata hasira zaidi badala ya kusamehe.nini suluhisho,nini cha kufanya?