Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Wengi tunapenda ndoa zetu zifungiwe kwenye yumba ya ibada kwa kadiri ya imani yetu. Ila pale mambo yanapokuwa magumu, hasa inapotokea tofauti ya imani, basi njia iliyobaki ni kufungisha ndoa bomani kwa mkuu wa wilaya.
Sasa kama haya yangekukuta wewe, je ungependa mkuu yupi wa wilaya kufungisha ndoa yako, na kwa nini?
Sasa kama haya yangekukuta wewe, je ungependa mkuu yupi wa wilaya kufungisha ndoa yako, na kwa nini?