Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
Katika hali ya kusikitisha dada mmoja mwenye umri wa miaka 25 huko County ya Thika aelezea kisa cha baba yake alivyo mshawishi kumuoa na kuzaa nae mtoto wa ajabu baada ya kuishi nae takribani miaka miwili ya unyumba, nimemsikiliza huyo dada roho imeniuma sana dah!! Binadamu sisi siyo watu