Ushauri kwa wanawake wanaoolewa katika familia/koo fulani

Annie Josh

Senior Member
Nov 17, 2010
184
66
Habari wana forum,

Natumai wote tu wazima kwa uweza na majaaliwa yake muumba.

Rejea mada tajwa katika maisha haya na umri wangu wa late 20s nimejifunza jambo moja kubwa juu yetu wanawake.Mungu alivyotutoa kati nyama na mifupa ya Adamu alikuwa na kusudi kubwa sana. Purposely alitufanya kuwa wasaidizi wa Adam (Wanaume) katika yale yampendezayo mwenyezi MUNGU, ikiwemo kumsaidia Adam aishi karidiri ya mapenzi ya Muumba wake.

Lakini shetani alivyo mjanja akajua nguvu aliyopewa mwanamke katika kufanikisha adhma ya kuumbwa kwa mwanadamu akaona amtumie in the other side of the coin kwamba badala ya kurahisisha kuingia kwa Adamu Mbinguni, yeye anampeleka Jehanam kwa kumshawishi aishi kishetani.

Mara nyingi mafarakano au kutokuelewana kwa ndugu haswa waliooa huanzia Kwa wake zao. Huanza kama uhasama mdogo mdogo hasa kwa mambo ambayo yangeweza kusuluhishika na kuisha kabisa kwa udhaifu wetu sisi wanawake tunashindwa kuwashauri vema wenzi wetu na kukolezea uhasama huo hata kukuta watu hawasalimiani na hawazikani.

Unaweza kuta sisi wanawake tulioolewa katika familia fulani tuna tabia zinazozuia mwanaume kusaidia ndugu zake, hii hupelekea pia ndugu either kumtenga au kumchukia ndugu yao na hali hii huongeza hamasa ya magomvi na vinyongo katika familia.

Wakati mwingine ndugu wa mume wanaweza kuwa na changamoto zao, kwa busara na sala zetu tuwe sababu ya mshikamano Kule tunapoolewa.
Kuna mifano anuai ya mambo anayoyafanya mwanamke either kwa kujua au out of ignorance yanaleta shida katika jamii aliyokaribishwa wewe mwanamke jipime ni kwa namna gani unaleta naelewano na ustawi katika jamii uliyokaribishwa.

----->>Wanawake tuwe chachu ya amani kule tulikoolewa hii itafanya kuwa na jamii iliyostaarabika na yenye amani na hofu ya Mungu.

Kumbuka kumuomba Mungu kwa Imani yako akusaidie sana ili ukajenge uendako na si kubomoa.

Ni ushauri tu.
 
asa
Habari wana forum.
Natumai wote tuu wazima Kwa uweza na majaaliwa Yake Muumba.

Rejea mada tajwa....Katika maisha haya na umri wangu wa late 20s nimejifunza jambo moja kubwa juu yetu wanawake! Mungu alivyotutoa Kati nyama na mifupa ya Adamu alikuwa na Kusudi kubwa sana. Purposely alitufanya kuwa wasaidizi wa Adam(Wanaume) Katika Yale yampendezayo MWENYEZI MUNGU, ikiwemo kumsaidia Adam aishi karidiri ya mapenzi ya Muumba wake.

Lakini shetani alivyo mjanja akajua nguvu aliyopewa mwanamke ktk kufanikisha adhma ya kuumbwa Kwa mwanadamu...akaona amtumie in the other side of the coin Kwamba badala ya kurahisisha kuingia Kwa Adamu mbinguni, yeye anampeleka jehanam Kwa kumshawishi aishi kishetani!

Mara nyingi mafarakano au kutokuelewana Kwa ndugu haswa waliooa huanzia Kwa wake zao! Huanza Kama uhasama Mdogo Mdogo hasa Kwa mambo ambayo yangeweza kusuluhishika na kuisha kabisa....Kwa udhaifu wetu sisi wanawake tunashindwa kuwashauri vema wenzi wetu na kukolezea uhasama huo hata kukuta Watu hawasalimiani na hawazikani!
Unaweza kuta sisi wanawake tulioolewa ktk familia fulani tuna tabia zinazozuia mwanaume kusaidia ndugu zake, hii hupelekea pia ndugu either kumtenga au kumchukia ndugu Yao na Hali hii huongeza hamasa ya magomvi na vinyongo ktk familia.

Wakati mwingine ndugu wa mume wanaweza kuwa na changamoto zao, Kwa Busara na sala zetu tuwe sababu ya mshikamano Kule tunapoolewa.
Kuna Mifano anuai ya mambo anayoyafanya mwanamke either Kwa kujua au out of ignorance yanaleta shida ktk Jamii aliyokaribishwa....wewe mwanamke jipime ni Kwa namna gani unaleta naelewano na ustawi ktk Jamii uliyokaribishwa.

----->>Wanawake tuwe chachu ya amani Kule tulikoolewa hii itafanya kuwa na Jamii iliyostaarabika na yenye amani na hofu ya Mungu.

Kumbuka kumuomba Mungu Kwa Imani yako akusaidie sana ili ukajenge uendako na si kubomoa.
Ni ushauri tuu.
nte sana ndugu kwa ushauri na mawaidha yako..mungu akubarki
 
Back
Top Bottom