PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 2,006
One day nikiwa job mke wangu alinipigia simu akinitaarifu kuhusu tatizo fulani ambalo limemtokea kazini. Ni gumu na nilimpa moyo lakini the ugly conclusion ni kwamba kwa msaada anaouhitaji mtu wa karibu tunayemjua anayeweza kumsaidia niliwah kumkataza mawasiliano naye.
Kusema kweli mke wangu alikuwa na uhusiano na huyu jamaa toka utotoni (wamekua wote), they even became girlfriend/boyfriend kwa juujuu (not intimate ). Najua kuwa wamezoeana na wamesaidiana somehow in life.
Nilikataza mawasiliano because walikuwa na ukaribu uliojeorpadize even ukaribu wetu. Hata mke wa jamaa alilalamika! Sasa ndo hivyo natakiwa kutoa go ahead kuwa jamaa ashirikishwe.
Mi nikamwambia atulie ntamtafutia namna. Nimepambana na namna nyingine sijapata. I hate to go back on my word that i'll find help. Na nimemkataza kabisa kumweleza huyo mshkaji.
Sasa i feel like niko mwenyewe kwenye kuzuia uhusiano wao, I mean kama kweli anaona ni reasonable kuniuliza whether awasiliane na jamaa or not it means aliona namuonea kumkataza+ it was a long time ago! Hapo nimeshindwa kuelewa psychology hii ya wanawake.
Pia naona kumuacha amueleze jamaa asaidiwe ni kutokuwa na msimamo na maamui ya mwanzo ya kumkataza, am being unreasonable?