Ee Mola wangu mbariki huyu Mwanamke

chifu77

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
902
596
Heshima kwenu wakuu.
Kuzaliwa mwanaume ni bahati ila kuishi uanaume ni majukumu, lakini kuzaliwa MWANAMKE ni furaha kwa wote.

Familia ina watu 4. Baba, mama, mtoto wa miaka 5 na wa mwaka 1. Imefika usiku mda wa kulala. Mtoto mdogo analia lia, mama anambembeleza na kumnyonyesha mpk anasinzia. Akimaliza anamgeukia Baba ambaye alikiwa anasubiri kugegeda. Maromance ya kufa mtu kisha baba anapata haki yake. Kwa sababu ya pilika hizo mtoto kashtuka, mama anamgeukia anamtuliza ili asinzie. Saa 9 usiku mtoto kaamka tena, mama naye kaamka anamtuliza analala tena. Haya asubuhi saa 11, baba anaanza kumpapasa mama, anataka agegede kidogo. Mama anatoa ushirikiano, baba anapata haki yake. Mtoto mkubwa kaamka, mda wa kwenda shule. Dada wa kazi kamuandaa ila mama lazima akahakikishe kama mtoto kala & kuvaa vizuri, kisha anamuaga. Saa 2 mama anaenda kwny shughuli za ujasiriamali, baada ya masaa 4 anarudi home kumcheki mtoto kisha aende tena kazini kwake. Jioni imefika anakagua kama msosi na kila ki2 kipo vzr. Haya anayafanya kila siku, mwezi mzima, miaka nenda rudi.

Ee Mola mjalie mama huyu afya njema na furaha. Kila mmoja nyumbani anamhitaji kwa mahitaji yake binafsi.
Amen... Amina...Aamin.
 
Wewe puuzi kweli jaribu usiache pesa asubuhi uone utakavyoandamwa, mgawanyo wa kazi wewe unaona kuwa mwanaume raha, mbona usemi wababa wasukuma mikokoteni, wabeba mizigo mizito, wachimbua na wazibua mitaro ya mavi ili huyo mke na watoto wapate kwenda choo.
 
Hahahaaaa... mwanzoni nimeanza na "kuishi uanaume ni majukumu"
pia leo pongezi & sala zangu ni kwa mwanamke wa aina hii. Au ulitaka nianze kumpongeza mwanaume kwanza??
 
Basi bila shaka mada yako imeakisi maisha yako na mkeo! Wanaume wengi(wa ukweli) tunatofautiana na mada yako!
Mkuu, inawezekana mada imeakisi au haijaakisi maisha yangu. Tafadhali naomba kujua huo utofauti wa wanaume wengi wa ukweli.
 
Labda ndoa yako! How hell mwanao alie wee, halafu wewe umetulia eti unasubiri kugegeda, are you a robot or a zombie thing!
Slow down, kujifunza haihitaji uharaka. mtoto kulia na kubembelezwa ni kawaida yake. Upende usipende. Mtoto kuwepo haimanishi, hakuna kingine kitakacho endelea labda kama ana matatizo.

Kumbuka kutueleza wanaume wa ukweli wanafanyaje!!
 
Mkuu, inawezekana mada imeakisi au haijaakisi maisha yangu. Tafadhali naomba kujua huo utofauti wa wanaume wengi wa ukweli.
Katika mada yako, Mwanaume wa shoka akisikia mtoto analia naye ataamka na kumbeba mtoto, atamwimbia kila nyimbo (hata kama hakuwahi kuimba ujanani) atacheza hata segere; mwisho mtoto ataanza kusinzia na kulala! Ndipo naye atarudi kulala!

Asubuhi, Mwanaume wa ukweli anaamka mapema kupasha misuli walau hata kukimbia kidogo, huku wife anamalizia usingizi! Ukirudi msaidie kumuandaa dogo shule, then chai(kama ipo) kisha sepa katafute unga wa ugali!

Tendo la ndoa halina ratiba, it comes automatically between the two!
 
Haya maelezo yako ndo yanakaribia kuwa 'theory'. Nina mifano mingi sana za wanandoa, mwanaume anakaa kama gogo ndani ya nyumba.

Labda kwa sababu umesema 'mwanaume wa shoka'.

Sasa sijui hawa wengine ni wanaume wa kisu.
 
Naanza kunusa harufu ya umri wako! I am out!
 
Back
Top Bottom