Ndoa nyingi ziko hivi, je yako ikoje?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,227
157,421
Baba ni kichwa cha familia na mama ni shingo ya familia. Shingo inazungusha kichwa kuelekea kule shingo itakako, na kichwa kitake kisitake kitageukia huko, Je wewe ndoa yako ni ya namna gani? Tujulishe.
 
Shingo inazunguuka kutokana na maamuzi ya kichwa....then shingo inafuata....tuu ikikataa mwili unaweza kugeuka wote ili kichwa kipate uelekeo unaoutaka...

Anyway kichwa mda mwingine kinalazimisha tuu....shingo haitaki kichwa kichepuke ila kichwa kinakomaaa tuu kuchepuka
 
Back
Top Bottom