Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

Salad

Member
Joined
May 18, 2016
Posts
37
Reaction score
25
Ninaleta story hii hapa, ukitukana sawa, ukibeza sawa. Ila wanaume wa ukweli wako wangapi, mjihesabu?

Nilifika wakati nikawa na choices 2 - Mwanaume A na Mwanaume B. Wanafahamiana na mara kwa mara nafanya nao kazi ingawa sio ofisi moja. A na B wamelingana sana, vitu vingi wanafanana - haiba, personality, nk. Kwa muonekano, A ndiye alinivutia zaidi na tukaanza relationship. Mwanaume B hakujua ingawa kila mara alimsema vibaya A. Mimi sikujali na sikumpa sikio maana sikuwa na interest.

Baada ya muda, mwanaume A akaanza visa. Wivu, mwanaume ana choyo hakuna mfano, kibaya zaidi akaanza kunibania XXX. Hapa ndipo alinishangaza, huyu mwanaume veepeeee?. Nikamwambia kama umepata mwingine sema mimi nianze akasema hana mtu yoyote? Nikamwambia sitaweza kuendelea, akasema nipe muda nina stress za kutosha. Kila mara nikifuatilia anayoniambia hivyo vijisababu nakuta yana ukweli, hakuwa muongo kivile. Ila jamani unaishije kwa muda mrefu bila XXX.

Na mimi sikutaka kumcheat hata kidogo. Ila mwanaume wa kazi gani lakini jamani? Kwani gari useme naendesha barabarani watu walione niridhike? Nikatangaza nia yangu. Nikamwambia sitaweza nikipata mwingine natimua zangu sitaki gozigozi. Akasema nimpe muda nikaona myeyusho kweli huyu anataka kuniua na njaa au? Mpaka nikasema au ana matumizi gani na mimi zaidi ya uhusiano na mchezo? Mwanaume A akaniambia basi naomba hata ukipata mtu mwingine usinisahau mapema, yani nikamshangaa, nikukumbuke kwa lipi?

Ikatokea nafasi nikawa safari na Mwanaume B. Nilipata nafasi ya kumuelewa vizuri zaidi ya urafiki wa kawaida. Hakukutokea kitu huko safari ila nilipata ile kitu inaitwa Aha! effect. Nikasema looh napoteza muda wa kazi gani na huyu mwanaume A? Nikarudi mjini nikatafakari sana, maana nilijua litatokea timbwili la ukweli. Sasa mwanaume mzuri unampataje? Huyu hapa B ambaye sikumpa jicho la umakini awali. Nilipopewa outing siku moja katika one of the finest hotels in Dar akanieleza nia yake ambayo tangu awali hakuwahi kuisema ingawa alionyesha interest kubwa. Nikazuga nitafikiria ingawa ndio mwelekeo ulishahama kutoka kwa A.

Ndi Ndi Ndi
Jamani A nikamwambia basi. Akaniambia yani utanisahauje ghafla hivyo si ungenipa nafasi kidogo nikamwambia - baba wewe nilikuchanganya na nani? Kosa langu kumuambia ni nani nimeanza naye uhusiano. Ni lazima angejua na ingekuwa sooo sanaaaa katika mazingira yaliyopo. Ilikuwa lazima niseme ila sitasema hapa kwa sababu gani. Akaniambia wanaume wote umeona yule ni mwanaume? Yani hapo imepita miezi mwenzie nimeridhika kila kituuuu na huyo B. Ananipa a Queens treatment yeye kabana hilo ndi ndi ndi lake, wa kazi gani? Huyo awe ana cheat ama la mimi sijali kwanini haki yangu hakunipa?

Wanaume wengine hawajielewi kweli. Mahusiano professionally yanaendelea sasa hapo kazi ni kwamba kaamua kufanya hivi - simu yangu moja ka block whatsapp kaacha viber na calls, ya pili ka block calls kaacha whatsapp na viber. Khaaa, kazi inaendaje hapo jamani? Natwanga emails tu nyingiii za kikazi, very professional kama hakuna kilichotokea. Si afunge simu zote kila kitu basi - whatsapp, calls, viber, sms kama kakasirika sanaaaaa. Kakaa tu sijui anategeshea nini, halo haloooo. Acheni mchezo yeye alidhani mimi mdoli ananiweka kunipangusa vumbi once a month?

Hivi mwanaume anakuwaje hivyo lakini yani kwa mfano? Tatizo kamuanzishia mwenzie bifu la ukweli mimi kimyaaa nimeminya wakifukuzana kazi hayanihusu. Roho kuntu, nasonga mbele na B wangu.

Ndipo nilipojua kuna wanaume vifirimbindi kweli, ushikwapo shukamana la sivyo NDI NDI NDI!

Ngoja niende zangu field miye....wanaume mjipange.
 
Sa ndo umemtenda nini mshikaji kisa kuwashwa hiyo dyudyu yako ndo umpe kibuti?!
 
So, the brotha is on blast cuz he couldn't "luv" no more? Damn sister!

Halafu kakupa ruhusa uendelee mbele, umem-replace na colleague na bado unategemea awe ok? C'mon!
 
So, the brotha is on blast cuz he couldn't "luv" no more? Damn sister!

Halafu kakupa ruhusa uendelee mbele, umem-replace na colleague na bado unategemea awe ok? C'mon!

Kama hajaacha kunipenda hasira zote za nini? Hiyo ya colleague ni coincidence tu
Una uhakika he couldnt luv no more? unajua mara ngapi aliomba second chance?
I dont give a damn...wanaume wengine mna tabu
 
Basi ndiyo tatizo kwan ni kaz mno kuwa na mwanamke anayewaza kukojozwa kila mara, huwa hawana tofaut na wanaosagana!

Kukojozwa mara moja kwa mwezi unaona sawa? Wewe ungevumilia? stress zako peleka hukooo hazinihusu, wanaume muwajibike
yani na wewe unamtetea kwamba sawa?
 
Sa ndo umemtenda nini mshikaji kisa kuwashwa hiyo dyudyu yako ndo umpe kibuti?!

hahaha Kisima bwana...wanaume kila siku mnalalamika hampewi vitu mnachepuka, huyu mnamtetea? Like birds fly together. Naona na wewe ni mlengo ule ule - Ndi Ndi Ndi
 
Ngoja nirudie kwa mara nyingine labda naweza kutoka na kitu!!!!
 
Kwani kazi ya mwanamke na mwanaume ni nini?
Wewe ni mwanaume au mwanaume? kama wewe mwanaume na hufikirii kumkojoza demu wako - Ndi Ndi Ndi
Kukojozwa kupo ila aina ya ww ni wale mnaofikiri kila panapo tendo lazima ukojozwe, kuna muda nawe unahitah kumpa yeye raha tu!!
Na kama unapenda kukojozwa kila mara tafuta super mario muweke ndan awe kwa kaz hiyo tu!
 
Back
Top Bottom