Never on Earth commit yourself to marry a woman raised by a single mother... You will regret it and ending up in a shame divorce.?
Hivi ni kweli msemo huo juu tuanze kuwa tunawauliza baba zao...
WanaJF,
HIvi karibuni nilileta habari ya Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..
Kila zao humea na magugu. Namaanisha kuwa licha ya ushauri mzito nilioupata...
Hellow,
Mimi nakaa nyumba moja na rafiki yangu ambae ni teacher wa sekondari, na kwenye bajeti yetu ya mwezi kila cku tumeweka portion ya watu 2, kwenye swala la msosi.
Juzi Juzi ticha...
Katika harakati za kutafuta mume ilikuwa hivi:
Nilipendana na kaka mmoja wa Singida. Huyu kaka aliniambia anataka nimpeleke kwa wazazi ili akajitambulishe na tufunge ndoa kwakuwa mwanzo...
Wazinzi hawana akili kabisa, kwani wafanya jambo litakalowaangamiza wenyewe.
How do you say no to sex?
A direct and simple answer, You just say no. If they try to push you, then you step away...
Jamani ndugu zangu nimeona hili jambo nililete kwenu ili wenye tabia kama hizi wajitaidi waachane nazo kabisa.
Kuna jamaa yetu hapa mtaani alikuwa na urafiki na anko fulani hapa mtaani,huyo anko...
Kuna wanawake wanaoamua kutokuolewa na wanapendelea kuwa na mabwana, hawa mabwana either wanakuwa waume za watu, waliofiwa na wake zao au wanaume waliochelewa kuoa.
Faida za kuwa mistress:
-...
Natafuta mchumba wa kike mkwel ambaye yuko tayari kutunzwa,kupendwa na kujar bila Kuchoka. Yr 29 umri wang. Chagui din,rangi wala kabIla. N Pm kwa maelezo zaid
Habari zenu,
Natumaini mu wazima mnaendelea vyema na pilika za maisha ya kila siku leo mabestito nawaletea somo maridhawa la Raha ya furaha inayodumisha ndoa na uchumba na hata mahusiano...
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke na mbwa jike, ng'ombe jike, hata ngurue jike. Pia nyani ni jike ila binaadam amepewa sifa ya kua mwanamke.
Mi ninaoona hapa si wanawake bali ni majike. Na...
Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 19 aliinadi bikira yake kwenye mtandao wa www.ineed.co.nz baada ya kukabiliwa na ukata wa pesa.
Mwanafunzi huyo anayejiita "Unigirl" alijitambulisha kuwa yeye...
Habari JF,
Nimejitokeza jukwaani kutafuta mchumba ambae baadae nitamuoa.
Nina miaka 30, mrefu wa wastani na kitaaluma ni mhandisi katika kampuni moja hapa Dar es Salaam pia mkristo.
Mchumba...
Habari wana jamvi. Nimekuja hapa kuomba ushauri kwenu ili niweze kumsaidia rafiki yangu ambae amezama kwenye penzi la mke wa mtu. Nimejaribu sana kumshauri mpaka imefikia kipindi sasa hivi...
Habari,
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30
Natafuta mwanadada kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi tu(sio ndoa,ni mapenzi tu)
Sifa:
Awe anaishi kati ya DAR,MORO,TANGA,MOSHI au ARUSHA
Awe...
Tangia mwanzo wa kale ngono imekuwa ni kitu cha kuuzwa. Kuna msemo unaosema, “prostitution is the oldest profession”.
Ni ukweli kuwa kila mwanaume analipia ngono kwa namna moja au nyingine...
Wadau ni vyema leo tujuzane haya;
Hakuna kitu hatari kwenye mwili wa binadamu kama nyeg3, hii hali epukana na usithubutu kuiendekeza, sifa kuu ya nyeg3 ni kumfanya binadamu afikirie kutafuta njia...
Wadau,
Mwenzenu nikithaminisha msichana naangalia uso,wezere na miguu kwanza. Sasa kuna wengine usoni wamejipamba ni full kung'aa ila sasa miguu haiongopi. Unakuta mdada ana mabakabaka basi...
Ni ndoto za siku nyingi nilizonazo juu ya kutamani kuwagegeda hao wanawake wakizungu au kiarabu lakini nashindwa pa kuanzia
Tatizo sijui kiingereza kwa ufasaha pia nashindwa kujenga urafiki na hao...