Wadau ni vyema leo tujuzane haya;
Hakuna kitu hatari kwenye mwili wa binadamu kama nyeg3, hii hali epukana na usithubutu kuiendekeza, sifa kuu ya nyeg3 ni kumfanya binadamu afikirie kutafuta njia rahisi kwake kutimiza haja zake (Shortcut), zifuatazo si sehemu salama kufanya ngono.
1.Kwenye Gari wakati mkiendesha
Si salama kufanya mapenzi huku mmoja akiendesha gari, ni vyema mkatafuta parking nzuri ili mmalize haja zenu, kuna matukio kadhaa nimewahi kushuhudia chanzo kikiwa ni sex+driving=ajali,nakumbuka kuna jamaa na msichana wake walikufa kwa ajali mbaya wakitokea Morogoro chanzo kikiwa msichana alikuwa ananyonya duche ya mshikaji, jamaa ile kupagawa akaacha njia.Tabia ya kufanya ngono kwenye gari ni maarufu sana hasa barabara zenye foleni kubwa mijini hususani mida ya usiku, pia kuna maegesho mengi watu hufumwa wakizini, epukeni aibu hiyo.
2. Kwenye mchanga hasa beach
Achilia mbali kuwa beach inatembelewa na watu wengi, lakini pia si salama kiafya kutokana na uwezekano mkubwa wa kutokea maumivu wakati wa tendo, pamoja na hilo kuna uwezekano mkubwa wa maambukizi, hata hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kubakwa na kuporwa mali zenu endapo vijana wa beach watawafuma mkifanya mapenzi.
3.Juu ya miti
Hapa achilia mbali uwezekano wa kudondoka,pia kuna wadudu wadogowadogo sana huenda wakamtambaa bila kujua na kumwingia sehemu za siri ambao wanaweza humletea magonjwa .i.e ugonjwa wa madoadoa au ukungu ukeni.
4. Kwenye maji
Achilia mbali uwezekano mdogo wa kutumia condom mkiwa kwenye maji, pia ni rahisi sana uke kukauka mapema wakati wa tendo kwani maji yanaweza kuondoa vilainishi vilivyopo ukeni, pamoja na hayo ni hatari sana kwa mwanamke kupatwa na magonjwa kama UTI hata kama ikiwa kuna baadhi ya pool maji huwekwa dawa i.e chroline,kwa kuwa hakuna uthibitisho wa kiwango cha kemikali kilichowekwa basi si salama sana kufanya ngono katika maji.
5.Ofisini
Katika sehemu zinazoshawishi sana na hatari sana hupaswi kufanya mapenzi ni ofisini, fikiria fedheha kubwa ambayo inaweza kuwakumba mkifumwa, kuna uwezekano mkubwa sana wa kufukuzwa kazi katika hili, pia kuna uwekano kukawa na kamera zimetegeshwa jambo ambalo linaweza waaibisha katika jamii.
6.Makaburini
Hapa hata sisemi sana, ila hupaswi kufanya mapenzi makaburini, si salama na binadamu mwenye kujitambua hupaswi kufanya mapenzi maeneo haya.
7.Nyumba za ibada
Jamani huezi amini kuna watu wanadharau sana, ila kitendo cha kudhalau hadi kufika hatua ya kufanya mapenzi katika nyumba za ibada ni hatari sana kwako, makanisa na misikiti mingi imewekwa maagano ya ki-Mungu na kimiungu,yakupasa kuheshimu, vinginevyo lolote laweza kukukuta.
MENGINEYO
Note;Kwa ujumla nawapeni siri hii; magari mengi sana yamewekewa maagano tofauti tofauti huko yalikotoka na wamiliki wa mwanzo, hivyo mengine hayataki dhambi ya kinajisi zifanyike humo, huwezi kuelewa hilo lakini ngoja nikufahamishe kwa mfano; kuna magari yana maagano ni marufuku kubeba maiti, na mkibeba haliondoki, ama mengine yana maagano halibebi maiti za dini flani, kiila njia mtafanya mtakwama tu. Hasa magari yatokayo uarabuni yanahusika sana hizi mambo kuweni makini sana;
Na wengine kwa dhambi hizo za kwenye magari wamepata laana ya ufukara wa kutupwa au maajari ya kijinga kijinga huwakumba. Ni vyema tukaachana na tabia kama hizo. Asalaam aleikhum!
Heri ya paska, Amefufuka, Haleluya;na iwe hivo kweli kweli;
NAWATAKIA HERI YA PASKA