Jamani nifanyeje ili siku moja niweze ku-date na mtoto wa kizungu au kiarabu?

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Ni ndoto za siku nyingi nilizonazo juu ya kutamani kuwagegeda hao wanawake wakizungu au kiarabu lakini nashindwa pa kuanzia
Tatizo sijui kiingereza kwa ufasaha pia nashindwa kujenga urafiki na hao mabinti wa kiarabu kwa sababu hali yangu ya kiuchumi ni mdogo sana
Ndugu zangu wabongo naombeni ushauri wenu wakuweza kutimiza ndoto yangu kwa sababu nahisi wanavitu adimu kuliko hawa wakinadada wa kiafrika wenzangu
 
Ukimaliza hao utatamani mchina/mjapani/mhindi,acha mambo za kipuuzi,huo ubongo upe Uhuru wa kuota maendeleo yako na familia ulikotoka mambo ya wanawake yaache
 
Acha uzinzi kijana zinaa siyo nzuri.
 
Ni vizuri kutimiza ndoto zako maishani lakini lazima ujue kila ndoto zina gharama zake kuzitimiza. Swali je uko tayari kulipia hizo gharama? If you cant afford its better to go for low hanging fruits...
 
Ukimaliza hao utatamani mchina/mjapani/mhindi,acha mambo za kipuuzi,huo ubongo upe Uhuru wa kuota maendeleo yako na familia ulikotoka mambo ya wanawake yaache
Mkuu najituma sana katika kazi ili kuendana na falsafa nzima ya hapa kazi tu lakini hii ndoto naiona inanijia mara nyingi leo hii nimeona niiweke tu bayana
 
Nadhani mkuu, umeshajijibu wewe mwenyewe. Nanukuu ulivyo sema "hali yako ya kiuchumi ni mbaya" tafuta mikwanja kwanza then jichanganye, pande za las vegas kule town, zama new african hotel, huko utakimbia mwenyewe..(but, MTUNZE MKEO KWANZA)
 
Ni ndoto za siku nyingi nilizonazo juu ya kutamani kuwagegeda hao wanawake wakizungu au kiarabu lakini nashindwa pa kuanzia
Tatizo sijui kiingereza kwa ufasaha pia nashindwa kujenga urafiki na hao mabinti wa kiarabu kwa sababu hali yangu ya kiuchumi ni mdogo sana
Ndugu zangu wabongo naombeni ushauri wenu wakuweza kutimiza ndoto yangu kwa sababu nahisi wanavitu adimu kuliko hawa wakinadada wa kiafrika wenzangu
Lahisi sana, nenda Goithe kajifunze lugha ya kijeruman, kutoka hapo kunachance za buree kwenda kwao huko utakutana na makabila yote, amin mimi jaribu uone. .kama vipi ni PIN
 
Ni ndoto za siku nyingi nilizonazo juu ya kutamani kuwagegeda hao wanawake wakizungu au kiarabu lakini nashindwa pa kuanzia
Tatizo sijui kiingereza kwa ufasaha pia nashindwa kujenga urafiki na hao mabinti wa kiarabu kwa sababu hali yangu ya kiuchumi ni mdogo sana
Ndugu zangu wabongo naombeni ushauri wenu wakuweza kutimiza ndoto yangu kwa sababu nahisi wanavitu adimu kuliko hawa wakinadada wa kiafrika wenzangu
FUGA RASTA

Watu wanawaza kujikwamua katika janga zima la umasikini wewe unawaza ndoto zisizotarajali ambazo naamini ni katokeo ya kuangalia picha za ngono kitu ambacho ni hatari sana

Ok wazungu hupenda sana rasta, utakapozifuga nadhani ndoto yako itatimia
 
paka mkorogo uwe kama wao maana kwa dhana uliojiwekea kuwa mapenzi ni uchumi achilia mbali mzungu na muarabu hata huyo mswahili hutompata.

nenda buguruni, ilala na magomeni wamejaa kibao au ukipata nauli nenda nzega huko wapo wa kila sampuli na wanaongea kisukuma na kinyamwezi kama wana akili mbaya
 
FUGA RASTA

Watu wanawaza kujikwamua katika janga zima la umasikini wewe unawaza ndoto zisizotarajali ambazo naamini ni katokeo ya kuangalia picha za ngono kitu ambacho ni hatari sana

Ok wazungu hupenda sana rasta, utakapozifuga nadhani ndoto yako itatimia
anadhani watamtoa kimaisha hajui kuwa na wenyewe kuna machoka mbaya vile vile
 
Ni ndoto za siku nyingi nilizonazo juu ya kutamani kuwagegeda hao wanawake wakizungu au kiarabu lakini nashindwa pa kuanzia
Tatizo sijui kiingereza kwa ufasaha pia nashindwa kujenga urafiki na hao mabinti wa kiarabu kwa sababu hali yangu ya kiuchumi ni mdogo sana
Ndugu zangu wabongo naombeni ushauri wenu wakuweza kutimiza ndoto yangu kwa sababu nahisi wanavitu adimu kuliko hawa wakinadada wa kiafrika wenzangu
Mkuu mbona rahisi kuwapata hao. Ina maana hujawahi kumgegeda hata mmoja usingizini au chooni na sabuni yako ya lifeboy mkononi.
 
ANZA Kunywa maji mengi uwe mweupe kama wao! Teh teh! Ni utani tu! ILA ACHA UZINZI NA BWANA AKUSAIDIE.
 
Back
Top Bottom