Natafuta Mpenzi

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,249
Habari,

Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30

Natafuta mwanadada kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi tu(sio ndoa,ni mapenzi tu)

Sifa:

Awe anaishi kati ya DAR,MORO,TANGA,MOSHI au ARUSHA
Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 21
Awe mrembo
Asiwe mwembamba wala asiwe tipwatipwa...awe size ya kati...aliyebarikiwa vema
Dini yeyote tu


Awe anajua kupendeza,jukumu la kumpendezesha aniachie mimi!

Kwa aliye tayari,aje PM kwa mawasiliano zaidi

NB. Natafuta MPENZI tuu na SIO mke!
 
Unatafuta mpenzi tu wa kuzini nae na wala siyo mke halafu unataja taja dini hapa? !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom