mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke na mbwa jike, ng'ombe jike, hata ngurue jike. Pia nyani ni jike ila binaadam amepewa sifa ya kua mwanamke.
Mi ninaoona hapa si wanawake bali ni majike. Na kuna ambao sifa ya mwanamke haiwafai.
mwanamke amepewa jukumu zito la kuendeleza jamii na sio kufanya kama hii hapa;