Natafuta mchumba (mwanamke)

Googler

Member
May 8, 2016
24
21
Habari JF,

Nimejitokeza jukwaani kutafuta mchumba ambae baadae nitamuoa.

Nina miaka 30, mrefu wa wastani na kitaaluma ni mhandisi katika kampuni moja hapa Dar es Salaam pia mkristo.

Mchumba ninaemtafuta awe na sifa zifuatazo:
  1. Awe mweupe
  2. Asiwe mfupi
  3. Umri kati ya miaka 21 - 26
Mambo mengine tutaambiana kwa inbox.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom