Ushauri: Nimesusiwa mtoto wa miaka mitatu

Kama una hofu ya Mungu (sio mtu wa anasa, uasherati + uzinzi) lazima mtoto atakua kwa kidogi utakachokipata kama walivyo watoto wengine.
 
Na we unataka kumsusia nan ? Komaa iyo dam yako alaf uyu mkubwa kabisa we mlee to ki roho safi atakua
 
Back
Top Bottom