Karibia kila mwanamke anajiuza na kila mwanaume analipia ngono

Status
Not open for further replies.

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,969
Tangia mwanzo wa kale ngono imekuwa ni kitu cha kuuzwa. Kuna msemo unaosema, “prostitution is the oldest profession”.

Ni ukweli kuwa kila mwanaume analipia ngono kwa namna moja au nyingine, haijalishi kwamba unamchukua msichana kichochoroni au kumchukua mpenzi wako mkaenda kwenye chakula au kwenye muvi, mwanaume analipia kwanza kabla chupi haijashushwa

Wanawake wengine hatumumunyi maneno kukuambia kuwa ‘K’ ni ya kuuzwa, kuna wengine wanasimama kwenye kona wamevalia mavazi ya kuvutia wanaume, wengine tunawaita ndani kwetu au tunaenda kujirusha sehemu nyingine, yao kwa wanaume, hawa ndio jamii inawaita ‘’malaya’’ na kuwaona ndio wakosefu wakuu kwenye jamii.

Lakini kimsingi kama huna hela au umepigika huwezi kupata msichana mzuri au mrembo. Tofauti ni, wanawake waliopo kwenye kona ni warahisi na hawana mzigo wa hisia za wivu,

wanawake wanaosema na kuimba kuwa wanaangalia tu mapenzi ya dhati wanawafanya wanaume waamini kwamba ngono ni bure, lakini kodi,vocha, gari,n.k lazima walipie

Mwangaliae mtu kama Donald Trump, alioa mwanamke aliyekuwa anajiuza Melania, lakini akiwa kwenye ndoa Melania alibadilisha tu ile lebo ya kitwa malaya akaitwa mke lakini mwisho wa siku bado anafanya ngono na mume wake kwa ajili ya pesa,

Donald Trump bado analipia ngono,Melania alipoulizwa kama angekubali kuolewa na Donald Trump kama asingekuwa na hela naye aliuliza ‘‘je yeye angenioa kama nisingekuwa mrembo?’’

Kwa hiyo wote wanafahamu mabadiliko ya kimbinu ya malaya na mteja, Kama isingekuwa fedha zake, babu huyu Trump mwenye umri wa 68 asingeweza kumuoa Melania mwenye umri wa miaka 44,

kwa hiyo ndoa yao pamoja na ndoa nyingi naweza kuziita ‘kujiuza kulikohalalishwa’

Sasa hawa wadada waliopo kwenye ndoa wanatunyooshea sisi ambao tunafanya hii biashara kuwa hatuna maadili na ni waovu, au mwingine ana mchumba au ameolewa na bado anafanya kwa siri lakini ndio kinara wa kutunyooshea vidole sisi na wateja wetu, huu ni unafiki mkubwa sana na kama kuna adhabu adhabu yetu na ya kwenu hazitatofautiana.

Sina maana ya kusema kia mwanaume analipia kufanya ngono au kila mwanamke anajiuza kwa sababu kuna watu wanapendana na wote unakuta hawana kitu, na wanafanya kazi kwa pamoja na kuwa na mafanikio aua kuridhika na walichonacho na kubakia kwenye umasikini wao, lakini hawa ni wachache sana.... Wanawake wote tunajiuza na wanaume wote mnanunua ngono.. acheni kunyooshea wengine vidole
 
Tangia mwanzo wa kale ngono imekuwa ni kitu cha kuuzwa. Kuna msemo unaosema, “prostitution is the oldest profession”.

Ni ukweli kuwa kila mwanaume analipia ngono kwa namna moja au nyingine, haijalishi kwamba unamchukua msichana kichochoroni au kumchukua mpenzi wako mkaenda kwenye chakula au kwenye muvi, mwanaume analipia kwanza kabal chupi haijashushwa

Wanawake wengine hawamumuyi maneno kukuambia kuwa ‘K’ yao ni ya kuuzwa, wanasimama kwenye kona wamevalia mavazi ya kuvutia wanaume, wakiwatangaza biashara yao kwa wanaume, hawa ndio jamii inawaita ‘’malaya’’ .

Lakini kimsingi kama huna hela au umepigika huwezi kupata msichana mzuri au mrembo. Tofauti ni, wanawake waliopo kwenye kona ni warahisina hawana mzigo wa hisia za wivu, wanawake wanaosema na kuimba kuwa wanaangalia tu mapenzi ya dhati wanawafanya wanaume waamini kwamba ngono ni bure, lakini kodi,vocha, gari,n.k lazima walipie

Ngoja nimalizie wimbo; Sans te toucher wa JB nitafakari kama na wife aliniingiza king
 
Na ww pia huwa unatoza kodi kwa boy wako?
 
Ngono kabla ya ndoa ni uzinzi, imekatazwa na MUNGU, bwana harusi hapaswi kumjua kimwili mkewe kabla ya kufungishwa ndoa

Mke /mume mwema ni yule uliepewa na MUNGU, katika huyu hakuna kununua wala kuuza ngono, ni mbingu zimewaunganisha, huu ndio Mpango wa MUNGU,

Nawaomba wote turudi katika Mpango wa MUNGU
 
isn't that what i said? in fact ningekasirika sana kama mama yangu angeolewa na mwanaume masikini
Kumbe kaolewa na tajiri na bado ukaangukia hapa....
"Sasa hawa wadada waliopo kwenye ndoa wanatunyooshea sisi ambao tunafanya hii biashara kuwa hatuna maadili na ni waovu, au mwingine ana mchumba au ameolewa na bado anafanya kwa siri lakini ndio kinara wa kutunyooshea vidole sisi na wateja wetu, huu ni unafiki mkubwa sana na kama kuna adhabu adhabu yetu na ya kwenu hazitatofautiana."
Au just kwa kujistarehesha?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom