Naogopa mwanamke mwenye mabakabaka miguuni

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,936
3,958
Wadau,

Mwenzenu nikithaminisha msichana naangalia uso,wezere na miguu kwanza. Sasa kuna wengine usoni wamejipamba ni full kung'aa ila sasa miguu haiongopi. Unakuta mdada ana mabakabaka basi nikishaona hivyo tu mzuka wote unapotea nahisi huyo mtu atakua anaumwa.

Wenzangu sijui mnalionaga hili au ni mm tu.
 
Kuna sehemu nliona wanasema true test ya urembo/usafi wa mwanamke ni miguu yake,usafi kwa ujumla, ngozi ilivo na kucha
Wadada ambao mnasahau miguu yenu jirekebisheni jmn unakuta mtu katakata usoni miguuni ana magaga nyayo zimechanika inasikitisha sn,ukimlinganisha na mwanaume wake utashangaa,baadhi ya wanaume wana miguu iliotunzwa vizuri kuliko wanawake, aibuuu
 
Mabaka miguuni ni ishara kuwa aliugua ugonjwa Fulani lakini si dhahiri kuwa bado anaumwa.
Na heri ya huyo ambaye homa/ugonjwa ulitoka nje na kutibiwa, kuliko wale wale wenye ugonjwa ndani.
 
Kuna sehemu nliona wanasema true test ya urembo/usafi wa mwanamke ni miguu yake,usafi kwa ujumla, ngozi ilivo na kucha
Wadada ambao mnasahau miguu yenu jirekebisheni jmn unakuta mtu katakata usoni miguuni ana magaga nyayo zimechanika inasikitisha sn,ukimlinganisha na mwanaume wake utashangaa,baadhi ya wanaume wana miguu iliotunzwa vizuri kuliko wanawake, aibuuu
Bora umesema mana watu wanaangalia sura tu
 
Kusema mabaka ni kuumwa au aliuguaga ukoma si dhan km hukumu hiyo ipo mahal pake.

Lzm ujue,uchunguze kwa sir kuwa yametokana na nn mabaka hayo.

Ila kipendacho roho
 
Hakuna kitu kinanikata hamu kama mipasuko/michirizi hasa ile myekundu kiunoni nyuma kwenye jointi mapajani.
 
Jaman mabaka mengine yanatokana na utundu walivokuwa wadogo,walikimbizana na ile michezo ya kitoto wanaumia na vidonda au michubuko ikipona wengine hubak na alama..Kibaya zaid hamjui kutofautisha mabaka,makovu na alama za kuumia.Ukiona makovu maybe aliumia kama vile kuchanika na kukipona ndo kunabaki kovu,ukiona alama jua aliumia labda kawaida akatokwa na kidonda ndo kilivopona kikaacha alama nyeusi,ukiona hayo mabaka labda ana ugonjwa wa ngozi..Hata watu wenye sickle cell anaemia wanatokwaga na mabaka...Jifunzeni kutofautisha Na pia kaka kama hujampenda huyo dada nenda kimya tu kwani hii mialama miguuni wengine utoton tumeishi maisha ya uswahili magumu plus vipigo vya mama wa kambo...Hatukupenda.
Mdharau mwanamke asiejikubali kwa kujichubua mwisho anakuwa na miguu meupee but alama za kuumia hazitoki ndo anakuwq ka ndizi mzuzu za kubanika!ni hayo tu
 
Makovu ni kitu cha kawaida..Hayo mabska ndo siyaelewi. Labda kama usemavyo mtu akijichubua inawezekana hayo mabakamabaka yakatokea. Mwingine unakuta mabakamabaka hadi kwenye mapaja.
 
Jaman mabaka mengine yanatokana na utundu walivokuwa wadogo,walikimbizana na ile michezo ya kitoto wanaumia na vidonda au michubuko ikipona wengine hubak na alama..Kibaya zaid hamjui kutofautisha mabaka,makovu na alama za kuumia.Ukiona makovu maybe aliumia kama vile kuchanika na kukipona ndo kunabaki kovu,ukiona alama jua aliumia labda kawaida akatokwa na kidonda ndo kilivopona kikaacha alama nyeusi,ukiona hayo mabaka labda ana ugonjwa wa ngozi..Hata watu wenye sickle cell anaemia wanatokwaga na mabaka...Jifunzeni kutofautisha Na pia kaka kama hujampenda huyo dada nenda kimya tu kwani hii mialama miguuni wengine utoton tumeishi maisha ya uswahili magumu plus vipigo vya mama wa kambo...Hatukupenda.
Mdharau mwanamke asiejikubali kwa kujichubua mwisho anakuwa na miguu meupee but alama za kuumia hazitoki ndo anakuwq ka ndizi mzuzu za kubanika!ni hayo tu
Aggyjay nawe umo daah? yaani kama daktari wa mifugo vile au unjionaje? i mean ki purply purply.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom