Msichana epuka tabia hizi kama una mpango wa kuwa mke wa mtu one day, la sivyo sahau

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
[h=5]Kati ya Tabia ambazo Wanawake wa Kizazi hiki wanazo,na hawajali,bila kujua zinawaharibia Pozi kinoma,na zinawapa kitu wao wanaita Gundu,kumbe Gundu wamelikumbatia wenyewe,na wanalisababisha wenyewe ni hizi hapa:

1.MWANAMKE SAJENTI WA JWTZ MAKUTUPORA

Tunawafahamu Wanajeshi..lugha yao nzuri na tamu ni AMRI....Lete...Kuja...Kwenda....Rudi...

Sasa Mwanamke tangu lini una Amri kama umekabidhiwa Kombania ya JKT???Mwanamke yake mapozi na politeness...Lugha tamu....Mwanaume hahitaji Amri maana nature yake ni amri tosha...Akumbane na Amri za Bosi wake,na wewe home umletee Amri.Sasa nani BABA??..KINANUKA FASTA!

Utawasikia,

We Papito Casto hivi huoni kwamba sina viatu??

We Kataza,si nimekwambia Sina Vocha???

Lugha nzuri zimejaa teleeee...Baby wangu sina vocha ai weweeeee,nitumie japo buku.Unamrembea mkaka Sauti,HACHOMOKI!....Mwanaume ukishamrembea sauti hivi hata kama hakuwa na mpango atanunua tena Buku 2 atatuma tu....Sasa wewe endekeza Amri uone,utabip weee,utaishia kuomba TIGO NIWEZESHE!

2.MWANAMKE USELESS
Role kuu ya Mwanamke ni USAIDIZI....HELPER....Hii ni Kibiblia kabisa,Mungu akaona si vema Adam awe peke yake,akamtafutia Msaidizi....Sasa wewe Mwanamke husaidii anything,badili tu jinsia yako!

Kama kuna jambo moja tu unaloweza kunyonga Hisia za Mwanaume na akakupenda maisha yake yote ni kama utatimiza hili jukumu vizuri....

Kuna watu mnakaa na Boyfriends wenu/Wachumba/Waume,hamjui anafanya nini...Ana wazo lolote la Kibiashara...Humsaidii kumpa Mawazo mfanye nini kuongeza Kipato....Sasa we wa nini kwenye Maisha yake????USELESS
Akitokea Shankupe anayejua hii Siri anamuiba fasta,utashangaa,Huyu Mwanaume kafuata nini pale kwa yule shosti hata Sura hana,NDIO,Sura hana,Shape Sony Wega ya Inchi 26 kama Mjapenga lakini ROLE KUU kapata 100% kwanini jamaa asikutose????Inakula kwako I guarantee.

Likikugusa badilika...Onyesha kwamba upo..Show ur presence...Mwanaume kila akikaa akihesabu Mafanikio anakuona upo behind this..Behind That..behind that and that one....Sasa kila kitu kafanya mwenyewe,hela hujachangia...Hata wazo???Come on Girls!!!You can do better than that.

3.MWANAMKE DEBIT AND CREDIT NEVER
Hawa ndo Kiboko yao! Hakuna wazo atakalokupa ambalo ni la kuingiza hela..yeye kila wazo lake ni la kupulusa kilichopo bila kujali kitarudije na zikiisha itakuwaje!Wanatumia ile 'Shauri yake Principle'

Baby twende Maisha Club Leo kuna Usiku wa Mabeste anazindua Album jamani,Nampenda kweli Ben Paul atapafomu....

''Baby uko Mlimani City??please nichukulie 'Tuna' Fish hapo njaa inauma kweli mpenzi..hata hujui ana hela au hana,kiruu!

''Baby,nimeona cheni nzuri kweli can i have 60 thou mpenzi wangu,mwaahh...Ulimpa hiyo 60 thou??Ilikuwa kwenye Plan???Is it necessary ununue leo????THINK!

''Honey,kuna Samsung Galaxy nzuriiiii nimeona dukani,kama ile ya BFF wangu Joanita''

''Mpenzi,hivi huwezi hata kuninunulia VITZ,kwakweli nimechoka Daladala''.....Umechoka daladala wakti mamako bado anapanda,tena za Tandika...acheni biashara kichaa,hailipi!

Sisemi usiombe hela au vitu lakini hakuna hata sentensi moja ambayo ni Income Generating inaweza kutoa kinywani mwako hata mara moja kwa mwaka ili huyu MKAKA akumbuke kwamba She did this last year????

Hata kusema mpenzi nimeona tangazo kiwanja kinauzwa can we go see it and buy tujenge when tukioana?? Au Mpenzi kuna this Business nimeona rafiki yangu amefanya inamlipa sana,can you think of doing it???

Wewe ni Debit Debit Mwanzo Mwisho,hakuna Positive hata moja???Halafu unataka huyu jamaa A-propose ndoa???Na unamkomalia kwamba mbona yuko kimya hasemi kitu mwaka wa 3 huu???Apropose kuoa DEBIT????Ah nani kasema,utasubiria Treni hapo Ferry,subiri hapohapo hadi usikie honi..Anakutafutia tu Timing ya kukumwaga,maana ur a Liability to him japo hakwambii!

4.MWANAMKE CHAUPEPO

Hawa kama ni graph basi inaongezeka huku ikiongezeka...Waingereza wanasema Increasing in Increasing Rate!VYAUPEPO!
Jumatatu yuko Samaki Samaki...
Jumanne yuko Club Rouge...
Jumatano yuko New Palm Bar kwenye Baikoko na Friends.....
Alhamisi yuko Ladies Free Billicanas...
Ijumaa yuko Elements....
Jumamosi yuko Runway.....
Jumapili yuko Skylite Band Thai Village.....
Ana Ratiba kama Mbunge wa Msovero!

Unajua kuna mambo Wanaume wanafanya,sawa,ila Wanawake mkiiga wala haifai...mtasema mbona Wanaume wanafanya,lakini ukweli unabakia palepale,Mwanamke Chaupepo wa usiku ana-raise lots of Question Marks...Lots.....

Mama wa nyumba ajaye,anapepea haifai,hata Bendera ya Mwenyekiti wa Kijiji haikufikii,Wiki nzima una mishe,hujali hela ngapi umetumia kama kweli ni za kwako unajitegemea,but it shows that HUNA FOCUS....

Na hili lina-apply hata kwa Wanaume,siku 4 kwa Wiki zote unatoka,hata kama unatumia 20thou kwa siku,still its too much...ukisave hiyo hela unanunua tofali za kutosha tu....Mtalalamika ujenzi shida lakini hela unazokula gambe ili bata ikuzoee ukiichange FOCUS yako kidogo utashangaa kibanda kinainuka taratibu...Siongei Rocket Science,inawezekana,Nimeona na ninazidi kuona....Change ur focus and things around you will change...MEN,HEAR THIS!

5.MWANAMKE ZEZETA/GOIGOI/KILAZA

Mwanamke lazima awe Sharp...Bed...Jikoni...Everywhere! Make your Man proud of YOU!!Ukiwa Sharp hata mmeo atakusifia kwa rafiki zake,hiyo kafanya mama flani bwana....Sasa mmeo hana hata kimoja cha kukusifia....Bed pia uko shallow na you dont bother kujifunza wala,unaona utaaaammmm...Mh mama,wataka ndoa ama ndoano???

Mkisoma Sifa za Mke mwema kwenye Biblia ndo mtajua....Mke sio Sura au Shape,hata Punda ana shape...Mke shurti uwe SHARP.....

Kuna nyumba ukiingia tu unajua Mke KILAZA...liko wazi....Mwanamke Sharp hata ukifika kwake utaona....iko clear na kilaza iko clear...
Kuna watu wanaoa vilaza wanajuta...Mke hajui kupika,kutwa alikuwa anashinda vibanda vya chips na kula burger...Kisa ana shape umeweka ndani,dadeki bonge la pancha,muda wote anatengeneza kucha...Mwanamke kufua hawezi/hataki eti ataharibu kucha....Mwanamke anajua Kuoga na Kuvaa tu....Mwanamke kupika hawezi anamuachia Housegirl kila kitu....mahausigeli siku hizi ukizubaa tu MESSI huyooooo kapita,unapinduliwa Uganda hivihivi na IDD AMIN upo hapohapo!

Mwanamke kitanda akutandikie Housegirl????Halafu unategemea nini???Kama Housegirl anashine in the eyes of your Man kwamba yeye ndo Masterplanner wa House,Mmeo atajuta kwanini alikuoa wewe ni afadhali angem-turn Housegirl into a Wife....

Tafadhali,Think Twice,Ndoa sio kama Vinyweleo kila mtu anavyo...Zile Zama zimepita....Utabakia kutegesha Mimba huolei Ng'o maana huoleki...

Kama una hizi Tabia BADILIKA lasivyo chagua,ama UJIOE au UOLEWE na Same type of Stupid Man as ur maana mtakutana wote level za Ngassa na TEgete...ASANTE![/h]
 
3.MWANAMKE DEBIT AND CREDIT NEVER
Hawa ndo Kiboko yao! Hakuna wazo atakalokupa ambalo ni la kuingiza hela..yeye kila wazo lake ni la kupulusa kilichopo bila kujali kitarudije na zikiisha itakuwaje!Wanatumia ile 'Shauri yake Principle'

Baby twende Maisha Club Leo kuna Usiku wa Mabeste anazindua Album jamani,Nampenda kweli Ben Paul atapafomu....

''Baby uko Mlimani City??please nichukulie 'Tuna' Fish hapo njaa inauma kweli mpenzi..hata hujui ana hela au hana,kiruu!

''Baby,nimeona cheni nzuri kweli can i have 60 thou mpenzi wangu,mwaahh...Ulimpa hiyo 60 thou??Ilikuwa kwenye Plan???Is it necessary ununue leo????THINK!

''Honey,kuna Samsung Galaxy nzuriiiii nimeona dukani,kama ile ya BFF wangu Joanita''

''Mpenzi,hivi huwezi hata kuninunulia VITZ,kwakweli nimechoka Daladala''.....Umechoka daladala wakti mamako bado anapanda,tena za Tandika...acheni biashara kichaa,hailipi!

Sisemi usiombe hela au vitu lakini hakuna hata sentensi moja ambayo ni Income Generating inaweza kutoa kinywani mwako hata mara moja kwa mwaka ili huyu MKAKA akumbuke kwamba She did this last year????

Hata kusema mpenzi nimeona tangazo kiwanja kinauzwa can we go see it and buy tujenge when tukioana?? Au Mpenzi kuna this Business nimeona rafiki yangu amefanya inamlipa sana,can you think of doing it???

Wewe ni Debit Debit Mwanzo Mwisho,hakuna Positive hata moja???Halafu unataka huyu jamaa A-propose ndoa???Na unamkomalia kwamba mbona yuko kimya hasemi kitu mwaka wa 3 huu???Apropose kuoa DEBIT????Ah nani kasema,utasubiria Treni hapo Ferry,subiri hapohapo hadi usikie honi..Anakutafutia tu Timing ya kukumwaga,maana ur a Liability to him japo hakwambii!

Nimependa hii, lolest, kuchaangia gharama noumerrrr
 
Cjajua accounting package ipi umetumia ila apo kwenye Dr nyingi sijakusoma
Maana nature ya cash account ni Dr! That is una Dr wat u get and Cr unavyotoa
Sasaa unalalamika mwanamke kuku Dr kila mda??
 
Mkuu najua wakija hapa watakuparua na kuonesha jinsi wao walivyo ila umeongea ukweli..! Na wao wenyewe wanajua!!
 
Wanaume hataa hamna jema unaweza ukawa na sifa zote hizo na bado akakutenda cjui anaona bila yeye huwezi kuishi ? ukishamuacha ndo unarudi oh unajua nitajiua, ctapata kama wewe, mja nilimwambia ngoja nikakununulie.ukweli hakuna hard and fast rule ya kumridhisha mwaanaume
 
Hivi nyie wanaume, who do you think you are? Demi-gods? Mscheeeew! Life does not revolve around you. Kila siku hiki, mara kile.
 
Wanaume hataa hamna jema unaweza ukawa na sifa zote hizo na bado akakutenda cjui anaona bila yeye huwezi kuishi ? ukishamuacha ndo unarudi oh unajua nitajiua, ctapata kama wewe, mja nilimwambia ngoja nikakununulie.ukweli hakuna hard and fast rule ya kumridhisha mwaanaume

umeona eeh mkuu Jeneneke. Ngachoka mie.
 
day dreaming!

Mario nao hawataki wake wa aina hizi??!! Wonders shall never end!
 
Cjajua accounting package ipi umetumia ila apo kwenye Dr nyingi sijakusoma
Maana nature ya cash account ni Dr! That is una Dr wat u get and Cr unavyotoa
Sasaa unalalamika mwanamke kuku Dr kila mda??

Hahaha hata mimi hapa nilitaka kuuliza, inavyoonekana mtoa thread hana uwelewa ma mambo ya Account kidogo less otherwise alikuwa kuna kitu anakiwaza huku akitype ujumbe wake haha. Ila ujumbe ni mzuri na umetufikia.
 
Wanaume hataa hamna jema unaweza ukawa na sifa zote hizo na bado akakutenda cjui anaona bila yeye huwezi kuishi ? ukishamuacha ndo unarudi oh unajua nitajiua, ctapata kama wewe, mja nilimwambia ngoja nikakununulie.ukweli hakuna hard and fast rule ya kumridhisha mwaanaume

Hapo kwene red ndipo kosa kubwa lilipo. Kudhani kwamba unafanya mambo hayo ili umridhishe mwanaume!
Hayo mambo yote yaliyotajwa ni mambo ambayo unatakiwa uyafanye NATURALLY whether uko na mwanaume au uko mwenyewe. Maana ni mambo ambayo yatakusaidia pia kuboresha maisha yako as a person regardless ya kwamba unamridhisha nani!
Mambo ya kuwa na akili za maisha, usafi, kufanya investments, ku control income and expenditure zako, kupunguza starehe ili ufanye mambo ya msingi, haya ni mambo ambayo ukiyafanya utaboresha maisha yako wewe mwenyewe na kama umeolewa, ndio unakua unaua ndege wawili kwa jiwe moja! Sasa mi nawashangaa nyie mnaoponda! Nyie mnaishije?
 
TheChoji kama unafanya ni obvious ndivyo ulivyo huwezi kuigiza usafi au kuchakarika if you are not, kuridhisha imeingia kutokana na mada husika.
 
Back
Top Bottom